Haha kahasira mgando!Nafanya kazi kwa bidii kwa wakati uho kama nipo nyumban basi nitasafisha nyumba na kuweka vitu vizuri kama ni kazini basi nitafanya mwenyewe bila kuombaa msaada na sitoongea na mtu ukilazimisha niongee basi nitakujibu majibu ya mkato
nimesikitika sana Binti SayuniiMm Hua napiga nyeto ili kupunguza hasira
Huyu Mbaga anasikitisha sanaπ₯²nimesikitika sana Binti Sayunii
Nakunywa maji mengi alafu natoka nje kuangalia angani.Kwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Kwa vipi mkuuπMkuu kumtag huyo binti utagombanisha watu humu π
Hapana, ila nikiwa na hasira kweli mawazo ya ngono huongezeka maradufu.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ila mkuu, wewe unawazaga ngono tu
Kupiga puny*to kunapunguza hasiraKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Ahahahaha unataka kusemaje mkuu...π afadhali hata Poor Brain
Ndo nini hiyoHahahah I mean no malice mkuu