Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Tatizo ni akili za hao vijana wanaochukua haya maposta na kwenya kuyarundika sehemu moja!! Hooligans!! Kama kazi ya kusambaza habari ya mkutano WA injili huwezi acha kuchukua haya maposta!! Pia haya hutokea kipindi cha mikutano ya kampeni ya Chama kikubwa twawala
 
Bora huko.
Huku Mbeya ndio alianza kuweka yaani hata akikukuta umesimama anakubandika kichwani.
Kwa hiyo alikuwa anawaweka watembea kwa miguu? Ati hata akikukuta - yaani una maana mhubiri huyu alikuwa anabandika matangazo mwenyewe? Tusishiriki uovu mwepesi. Haya matangazo yanabandikwa na Watanzania wenyewe waliopewa kazi ya kusambaza.
 
Mie pia niliyaona hayo mabango kwa kweli amechafua sana. Nilijiuliza kwa nini anabandika mabango ya aina moja eneo zima kariba km moja wakati ni kitu hicho hicho
 
Wazo la kubandika matangazo ya injili ni zuri..ila aliyepewa tenda ya kuyabandika..hakufanya sawa sawa
Ameyalundika mengi mahali pamoja kwenye maeneo mengi mengi hivyo kuonekana uchafu
 
Mkuu ungekuwa na gari hayo yote yasingekusumbua kuzurura na miguu kushangaa mabango

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni kweli fukara ndiye mlalamishi namba moja duniani, lakini wao ndio ws kwanza kukojolea kuta na kutupa taka hovyo
 
Mwenyewe nimeshangaa sana kwakweli sijui wanawezaje kubandika matangazo mengi namna hiyo? Muda gani wanabandika? Watu wangapi wanabandika? Maana kwa wingi wa poster zile lazima nguvu kazi itakuwa kubwa sana. Aise nimejiuliza sana
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa mtu kufanya hv...he kila mtu akifanya hv unahisi itakuaje..
 
Kama umekereka umeyaona na umejaribu kutuonyesha ulivyokereka kwa kufanya hivyo umetuonyesha nasi pia- Lengo la Mchungaji limefanikiwa. Asante kwa masaada wako- kifuatacho usiache kwenda kwenye mahubiri.
 
Kulikua na umuhimu gani wa wewe kuandika "Muhindi?" angekua Muhaya,Msukuma,Mmakonde....ungemtambulisha kwa kabila lake? acha ubaguzi wa ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…