Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 249
- 407
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhm[emoji3]hahahahahaBora huko.
Huku Mbeya ndio alianza kuweka yaani hata akikukuta umesimama anakubandika kichwani.
Kalipia matangazo jiji... Watu wameshakula ndio maana unaona kimya kabisaKachafua mno, karibu barabara zote za dar zinanuka vipeperushi vyake labda yuko juu ya sheria.
DahMhm[emoji3]hahahahaha
Kwenye mikutano yake anatangaza kabisa kuwa hataki sadaka, anasema hiyo hela nenda ukawape wahitaji, ndio sadaka njema zaidi au ukatoe kanisa unalosali siku zoteAcha watu wakamchangie muhindi gharama alizotumia kutangaza.
Mpaka karne ya ishirini na moja binadamu mwafrika hajui injili mpaka aende mkutanoni, biblia zimejaa ndni, you tube, facebook ,minyimbo ya onjili kila kona nk bado hawaelewi kilichoandikwa ila wiki moja ya muhindi wataelewa zaidi.
Ajabu sana.
Ni dalili za kurudi kwa Yesu kuchukua waliomwamini lazima injili imfikie kila mtu hata kama hupendi lazima usikie ili siku ya hukumu usije lalamika sikusikia ndo mabango hayo kero lakini umeelewa kuna mkutano nenda kasikilize yatakusaidia sana ingawaje yanakukera kwa sasa ipo siku utatakumbuka sana na inakuja upesi mathayo 24:1- kasome kurudi kwa YesuImekua kama kero sasa, matamasha ya kuhusu dini yanafanyiwa advertisement kiasi hiki.Ambao mmekutana na haya mabango mnanielewa vizuri.
Wengine mtasema nilipie tangazo ila sipo kwa lengo hilo, watu wa dini tusaidiane hapa.View attachment 1950143
ElezeaKuna fursa imejificha kwenye mabango hayo hasa yale makubwa.
Sawa mkuu wa mkoaTuache ushabiki wa kidini this is too much ubandikaji gani ule wa matangazo
Nadhani mpaka kipofu ataona hilo tangazo. Nilipita JANGWANI juzi nikakuta kikundi cha watu chini na ndoo za gundi na hayo mapeperushi nikajisemea wapuuzi kwenye upuuzi wao...
Mimi kama mkuu wa mkoa mstaafu nawaamuru mkutano wao wa dini utakapo isha waende wakasafishe kuta za watu
Ova
Tuache ushabiki wa kidini this is too much ubandikaji gani ule wa matangazo
Nadhani mpaka kipofu ataona hilo tangazo. Nilipita JANGWANI juzi nikakuta kikundi cha watu chini na ndoo za gundi na hayo mapeperushi nikajisemea wapuuzi kwenye upuuzi wao...
Mimi kama mkuu wa mkoa mstaafu nawaamuru mkutano wao wa dini utakapo isha waende wakasafishe kuta za watu
Ova