Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Mr. MTUI
Mbona una roho mbaya hivyo au sababu huna kazi unazulula tu mitaan. Pumbavu zako kasambaze cv mitaan ujikip bize
 
Sio wahindi ni wazungu wa ujerumani...waliofanya isivyo sawa ni wabandikaji posters..wamebandika hovyo ht kwenye maeneo yasiyotakiwa
 
Kwa nchi zilizojaa ustaarabu huu ujinga na uchafuzi wa mazingira usingefanyika kamwe hatuwezi kuona jiji linachafuliwa kiasi hiki kisa imani.
 
Kwenye mikutano yake anatangaza kabisa kuwa hataki sadaka, anasema hiyo hela nenda ukawape wahitaji, ndio sadaka njema zaidi au ukatoe kanisa unalosali siku zote

Kolenda mrithi wa Bonke.
 
Imekua kama kero sasa, matamasha ya kuhusu dini yanafanyiwa advertisement kiasi hiki.Ambao mmekutana na haya mabango mnanielewa vizuri.

Wengine mtasema nilipie tangazo ila sipo kwa lengo hilo, watu wa dini tusaidiane hapa.
 
Imeshakuwa kero ya jiji hii.. nimeona na memes zake
 
Upo kwenye gari yako au ya mshikaji umejipatia ka lifti mkuu?
 
Imekua kama kero sasa, matamasha ya kuhusu dini yanafanyiwa advertisement kiasi hiki.Ambao mmekutana na haya mabango mnanielewa vizuri.

Wengine mtasema nilipie tangazo ila sipo kwa lengo hilo, watu wa dini tusaidiane hapa.View attachment 1950143
Ni dalili za kurudi kwa Yesu kuchukua waliomwamini lazima injili imfikie kila mtu hata kama hupendi lazima usikie ili siku ya hukumu usije lalamika sikusikia ndo mabango hayo kero lakini umeelewa kuna mkutano nenda kasikilize yatakusaidia sana ingawaje yanakukera kwa sasa ipo siku utatakumbuka sana na inakuja upesi mathayo 24:1- kasome kurudi kwa Yesu
 
Huyo ndio mwanaume wa mkoani ukimpa kazi anafanya kikamilifu...
Wanaume wa Dar mnashangaa tu na kusema akamatwe... Tangia lini mwanaume akakamatwa
 
Sawa mkuu wa mkoa
 




ULILIONGELEA HILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…