Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Tangu nije dar sijawahi kuona matangazo mengi yakibandikwa kama ya UPENDO, IMANI NA MIUJIZA ukiondoa yale ya CCM
 
Mmeona mabango hayatoshi sasa mmehamia na huku
 
Waacheni wafanye mambo yao ilimradi hawajavunja sheria yoyote, mbona yule marehemu wenu wa Chattle kule kitovuni alibandika nchi nzima hadi kwenye nyumba zetu tena bila ridhaa yetu , huku akitumia Polissisiiemu kubandua mengine ya wapinzani wake, pia kukataza printing press zisichapishe ya Wapinzani. Matokeo yake MUNGU wetu wa Mbinguni akaingilia kati through UVIKO 19 kazi ikaisha wakarudisha kitovuni kufukilia mbali ,sasa imebaki stori tu
 
Na kwa taarifa yake tu ni kwamba bonke ni bingwa wa matangazo Dunia nzima. Alibandika matangazo India Kila Kona ya India na mengine alikua akikuona umesimama anakubandika usoni
 
Uchaguzi uliopita, makaratasi ya Magufuli yalibandikwa hadi kuta za ubalozi wa Ufaransa, pale Hamza alipofanya yake.
 
Nadhani sheria ya mabango, iwatake wanaobandika matangazo, wawe pia na jukumu la kubandua muda waliolipia unapoisha. Hii itaondoa ubandikaji unaofanana na kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…