Sasa mbona huyo magufuri unaye msema hana sifa hata moja kati ya hizo ulizo zitaja?Sawa ni mtazamo sahihi kwa upande wako.
Mimi nachojali ni kuwa raisi mzuri anatakiwa ahakikishe huduma za kijamii zinakuwa ni rahisi kupatikana kwa wananchi maana zinagusa maisha ya wengi.
Msingi wa serikali ni kuhudumia jamii yake. Kama kiongozi mkuu wa serikali hajishughulishi na welfare ya raia kwangu anakosa sifa ya kuwa kiongozi bora regardless ya mazuri yake yote.
Hospitali hovyo, Usafiri hovyo, Tasisi za kiserikali hovyo, Idara ya ulinzi na usalama hovyo. Hapo mtu anajiteteaje?
Kwa hiyo ww ulitaka atelekeze miradi ya magufuri aanzishe ya kwake.Lakini hakuanzisha mradi hata mmoja unaoweza kufika 1T
Toa ujinga wako, kwanini asiwape baiskel wazanzibar wenzake au yeye aendeshe na familia yake? yaani mimi unipe baiskel lakini wewe uendelee kuponda mabilioni na magari ya kisasa?Waseme ukweli wapi, wamekaririshwa tu hayo wasemayo.
Sasa hao lafudhi yao tuu inaonyesha ni washamba hata simu janja hawana wanawezaje kupandisha video walizojirekodi mtandaoni kama sio katokea Mjanja mmoja kawarekodi baada ya kuwakaririsha cha kusema na kuwapa buku mbilimbili za mataputapuToa ujinga wako, kwanini asiwape baiskel wazanzibar wenzake au yeye aendeshe na familia yake? yaani mimi unipe baiskel lakini wewe uendelee kuponda mabilioni na magari ya kisasa?
Huu umaarufu wa kifala wanautafutaNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Huyo mjanja ndiyo kawasanua, nao wanaweza kuelimika vilevile hata Magu lafudhi yake ilikuwa ni ya kisukuma lakini alikuwa na PhDSasa hao lafudhi yao tuu inaonyesha ni washamba hata simu janja hawana wanawezaje kupandisha video walizojirekodi mtandaoni kama sio katokea Mjanja mmoja kawarekodi baada ya kuwakaririsha cha kusema na kuwapa buku mbilimbili za mataputapu
Wana CCM huwa wanawaona wasukuma kama walugaluga hivi... Nimebahatika kukaa nao jamaa wana akili na misimamo Yao haiyumbwishwi!Veggies kazi mnayo mkiziba huku, kule kunatoboka..!!
Sema wasukuma wakitokea kwa pembeni km wamasai hivi 😹
Walokole tu awa wamekalilishwa na Wachungaji vimeo kufanya propaganda ya kitoto lkn MAMA NI M5 TENA !!Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Kwa kosa kwa kumrekodi na kumpost kwenye mitandao huyo mdada kinyume na Cybercrime Act ya Mwaka 2015Kwa nini akamatwe na kushitakiwa?
SahihiNdio nasema pengine angeweza kuwaonyesha kivitendo kuwa mitazamo yao kuhusu mwanamke sio sahihi.
Mwaka 2000 Dr Slaa aligombea uraisi wa wapi?!!!Sanduku la kutunzia kura. Kesi ya Dr. Slaa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ilithibitishwa kura zaidi ya 5,000 za kwake hakupewa.
Pumbavu kweli nyumbu wewe. Unaongea nini'?!!Ww huna mao
Huna Maono yoyote kushinda huyo mtoto kwa kifupi wasukuma wote ww huwez kuwashinda akili Tweneke
Babu hii ni nchi yakidemokrasia, watu tuko free kuchagua mtu yeyote ambaye tunaona anatufaaVijana wa Chadema hopeless kabisa
Kwani akimnyima kura si sawa tu, sababu huwezi pendwa na watu wote kwa asilimia mia moja, hata Yesu mwenyewe alichukiwa na baadhi ya binadamu sana tu, sembuse Mh. Rais wetu.
So ni jambo la kawaida tu, ila CHADEMA ndio mnafanya kuwa jambo kubwaaaaa..!! Hopeless Chadema kabisa
Kuna sehemu nimesema mwaka 2000 Dr. Slaa aligombea Urais..? Tuyuvisisiemu tuna shida Sana.Mwaka 2000 Dr Slaa aligombea uraisi wa wapi?!!!
🤣🤣🤣Rejea post Yako #182Kuna sehemu nimesema mwaka 2000 Dr. Slaa aligombea Urais..? Tuyuvisisiemu tuna shida Sana.
Kwani Kuna mtu kakukataza mkuu, sema tu. Mbona muda wote mnaponda tu humu na hakuna lolote linalowapataKwann tufiche fiche ukweli, kama wao wako tayar kuongea mapikpik na mabaskel kwann na sisi wananchi tusiwe wazi kusema ukweli kwamba hatuwapendi, hatuwataki na hatuna Imani nao. Sasa huyu ashikwe Kwan amevunjansheria gan hapo? Kwan huyo aliyehonga baskeli kwani lazma achaguliwe? Watanzania tudhashtukia hatuweza kulia msos kwenye Giza
#TanzaniaAmka
#UpuuziUnaendelea
Ufedhuri wa lilejeshi letu wanamdaka na matendo mabaya ajiandae nayoNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.