Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Una nio ovu
Mimi nimeitoa kwenye mitandao mingine na wala siyo niliyemoiga picha.

Waliowapiga picha (huyo Binti na yule mama wa upareni) ndiyo wao waliamua kuweka kwenye mitandao ya kijamii ili wengine waone.

Nia ovu iwe Kwangu Mimi na si Kwa watakaotenda huo uovu unaougopa wewe?

CC. Isanga family
 
Wanawaingiza matatizoni. Walifanya kitu hatari bila kujua sababu ya uwezo wao mdogo wa kutambua hatari.
 
Kama ni kweli ulichotofasiri na wanachokisema kazi anayo. Nimesikia hatukuchagui na kengele tunapiga.
 
Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Tunstiki
 
Umehakikisha usalama wa huyo dada?

Wasije kum 'kifo ni kifo tu" kimasikhara
Hawawezi. Kijijini wana umoja na ushirikiano. Walipiga mwano hutoboi hata ungekuwa na SGM. Huwezi kumteka mtu. Siyo kama nyie maboya ya mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…