May be... Ila komenti zetu ni kama tunawatukuza watenda maovu. Ndiyo maana wanateka watu mchana kweupe na hakuna tunachofanya!
Wewe umejuaje?Mnatekana wenyewe,kwa kuchukuliana wapenzi kugombea mali za urifhi,kudhulumiana nk
Uongozi wa huyu mama unafanana na wa magufuri ,huyu mama anateka na kuuwa wapinzani wake kama Magufuli,Mimi sijampa lawama Magufuli ila nachoseme ni kwamba Magufuli alichagua aina ya uongozi wake ambao ulikuwa na utofauti na mtangulizi wake, sasa Samia kaachana na hiyo aina ya uongozi wa mtangulizi wake na kurudisha aina ya uongozi iliyokuwa sawa na Kikwete na hapo ndio shida inapokuja. Ila kama Magufuli aina ya uongozi wake usingetofautiana sana na Kikwete basi hata Samia asingepata upinzani sana kwa wananchi.
Hivi Visukuma vya Ntuzu vijinga kabisa!Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Sio kwamba Samia kawaangusha wanawake wenzake kiasi cha kufanya hiyo mifumo dume ionekane ipo sahihi?Wasukuma tuna mifumo dume ni ngumu sana mwanamke awe kiongozi huku ni basi tu
Kenya wanakuuliwq na risasi kila siku,ndio uhuru wa kuongea huo.Juzi saba saba ,31 wameuliwa kwa risasi na 40 eamejerujlhiwa na risasi.Wqcha waliouliwq kimya kimya.Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
KweliHivi Visukuma vya Ntuzu vijinga kabisa!
Angekuwa Kanda maalum ya Dar es salaam tusinge muona tena kwa hisani ya watu WasiojulikanaNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Hii ndiyo shida ya kukosekana elimu ya digital use. Kanafikri kako sawa kumbe kisheria kakipelekwa mbele kanajamba!View attachment 3411963
Hawa ni wapate wa milimani huko..
Ila virembo sana,, just imagine hako kanapigwa sopusopu hako halafu kanaokwa na joto la Dar!Hivi Visukuma vya Ntuzu vijinga kabisa!
Nidhamu kama zipi ebu zitaje.Kimoja wapo mfano ni nidhamu kwa viongozi na watumishi wa serikali ila Samia katika uongozi wake ameondoa hicho kitu.
Fisadi mkubwa wewe,na jizi.Mama Samia kawabana,msiibe ndio mwapiga kelele,mama anawabana hapo hapo,majizi wakubwa nyie.Samia angechukua nchi baada ya Kikwete Tanzania kungekuwa na mapinduzi tayari.Watanzania walishachoka na ufisadi uliokithiri 2015.
Ni vichafu kwa ajili ya ufugaji tu lakini kakiwekwa mjini ni hatari. Vitoto vyetu hivyo!Ila virembo sana,, just imagine hako kanapigwa sopusopu hako na joto la Dar!
Duh! Yani unaniita sina akili kwa kosa lako mwenyewe la kushindwa kuelewa nilichosema, kwanini usingetangulia kuuuliza kwanza ili upate kuelewa?Huna Akili
Unaamini kwamba Magufuli alipita kwa sababu alibebwa na uongozi wa JK?
Hakuna threat hapoAtatekwa na kuuliwa soon