Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
 
Wanasema boss, labda Sheria zina class.
 
Wanasema boss, labda Sheria zina class.
Hakuna sheria hiyo ya kodi waache hizo mambo watu kufanya watakalo kisa wana pesa wanahangaika na vitu vidogo vitu vya msingi wanaviacha yaani mtu ana namba plate moja magari matatu harafu yanaongozana yakisababisha ajali utajua ni lipi hapo na analetwa dereva mwingine kabisa.
 
Ukilipia milioni 5 unaandika Plate number unavyotaka wewe.
 
Hapo moja mpaka tano ndio tofauti sio 888 kwa magari matano mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.
Nimekutolea mfano wa kuweka 1 mpaka 5 ,wengine wanaweka hata jina hilo hilo moja tu kwa gari zote ili mradi alipie kila moja milioni 5 ,wanaoweka 1 ,2 ,3 ni misifa waliochoka ili wajionyeshe wana magari mengi ,mfano MO gari zake ni MO tu au Davis Mosha anaindika DELINA au CEO basi yaani unaandika unavyotaka wewe ili mradi ulipie tu MILIONI 5.

Sasa mtu ushaona gari zote zina 888 halafu bado unaona haiwezekani kuwa hivyo ,ndiyo hivyo ishakuwa.

Halafu elewa hauwezi kujua kila kitu hata hivyo unavyojiona unajua kuna wengine wanakuona MWEUPE na wanaweza kukupa darasa ,kuna vitu mimi najua hata nikikupa miaka 100 kujifunza hautoboi.
 
Mkuu, kwamba huyo mshikaji hana chochote cha kukufundisha kuhusu magari sio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu nilileta Honda Ballade mwaka 2002 auto daslm nzima wakawa wanasema ya kike wanataka manual leo hii tupo na Ford ranger na matakataka mengine nimeleta gari ngapi mpaka nifundishwe na mmakonde aisee kila mwezi nasajiri gari Tanzania za wateja au zangu za kazi hapa nipo Kapiri Mposhi narudi huko ni utani kuelekezwa mambo haya na mtu ambae huku sio fani yake..
 
Sio kuhusu magari aisee nifundishe vitu vingine ntakuelewa mkuu mbona rahisi nimesema na narudia tena hauwezi kunifundisha kuhusu magari Over njoo na mambo mengine ntakuelewa yaani unifundishe usajiri aisee si utani huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…