Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

Sheria zipo Kwa ajili ya watu masikini tu
 
Mk
Mkuu mimi si mtaalamu sana wa hayo mambo lakini kwa ufahamu wangu mdogo ,hizo gari tano ukiachana na hizo customised(888) huwa zina original Reg number zake ambayo inatakumbulika na TRA hizo zinazoanza na T 345 FBG(si namba halisi ni mfano) ,kwahiyo akikutana na vyombo vya sheria au international number zitakazotambulika ni zile origina na si hizo customised ,hizo customised ni internally tu.
 
Watu wanalipia kodi harafu wanatembea na namba za GP mwaka mzima hata kwa magari mawili GP moja watu wa TRA wakivamia wanaona gari ishalipiwa kodi wanachotaka ni kodi wanakwambia aisee badili weka namba plate iliyosajiriwa wengine katika kuuza anatumia GP kwa muda mrefu ili akitaka kuuza achukue namba ya wakati huo Watanzania wengi wanasoma namba kumbe gari iliingia ina mwaka mzima Tanzania.
 
Upo sahihi ni magumashi tu hayo maana ya usajiri gari itambulike ikitokea balaa lolote ijulikane gari fulani maana ya namba sio kodi ni pamoja na utambulisho wa gari pia sasa unawezaje kuruhusu watu watano wakatumia Nida moja harafu unasema ni temporary tu angetumia 881,882 mpaka amalize hizo tano sio kwa anachokakifanya akipo ila kwa kuwa wameshika dola hata asipoweka namba ataishi tu.
 
Mzee uta tuua kwa mshahara huu wa mtendaji wa kata
 
Oh okay ,hapo nimepata concept yake.
 
Udhaifu wa mifumo yetu kuwaogopa WENYE PESA.
 
Udhaifu wa mifumo yetu kuwaogopa WENYE PESA.
Tanzania wanachotaka wao ni kodi mambo mengine hawana shida nayo ndio maana wakivamia gari wanakuja kwenye chassis number ipo kwenye App yao na inasoma kodi sahihi ikiwa tofauti ndio inaanza kama ile gari ya yule Msanii wanasoma gari zote hata ikiwa inatembea unapishana nao wakiona sawa hawakusimamishi..
 
Unabishana na tycoon wa magari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio mwenzetu huyo!
 
Duuuh nikajua kama LATRA wanacheza na Reg Numba za kwenye Licence plate ,kumbe TRA wao wanadili na chasis no tu basi ndiyo maana WAHUNI wanajiamulia mambo.
 
Hayoa ni mapungufu makubwa,kwa mfano gari zote zmetoka zipo mtaani kwa shughuri tofauti .ikisababisha Moja ajari ,utajuaje iliyosababisha ni ipi na zote zmepta njia hiyohyo
 
🀣🀣🀣Sawa mkuu lakini hapo kwa mmakonde patoe unatukosea wafuasi wako wakina chinga
 
Duuuh nikajua kama LATRA wanacheza na Reg Numba za kwenye Licence plate ,kumbe TRA wao wanadili na chasis no tu basi ndiyo maana WAHUNI wanajiamulia mambo.
Na gari ili iuzwe inatakiwa mtu asajiri kwa jina la muuzaji kwa hiyo kodi inalipwa ila ukitaka kusajiri kupata namba plate naweka jina lako kwa hiyo mambo ya transfer hapo yanakua hayapo tena kwa sababu kama ningesajiri kwa jina langu ningetakiwa kuhamisha na kulipia TRA kitu ambacho watu wanafanya ni juu kwa juu ingawaje hairuhusiwi ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…