Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Umezingua sana, sijaona hatua yotote mhimu uliyochukua mbali na kusuza icho unachokiita rungu
 
Miye nilifikiri ungemuongezea pesa ili asirudi tena golini kumbe huruma ya kisu inakukata huku kikiwa kisafi.
 
We shukuru tu limekuepuka tukio hapo huyo alikuwa anakuletea bongo movie ungie kwa 18 zake ule za uso
 
Kweli maana alikuwa anakuhurumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…