Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..

Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah😭😥
Umezingua sana, sijaona hatua yotote mhimu uliyochukua mbali na kusuza icho unachokiita rungu
 
Miye nilifikiri ungemuongezea pesa ili asirudi tena golini kumbe huruma ya kisu inakukata huku kikiwa kisafi.
 
We shukuru tu limekuepuka tukio hapo huyo alikuwa anakuletea bongo movie ungie kwa 18 zake ule za uso
 
Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..

Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah[emoji24][emoji26]
Kweli maana alikuwa anakuhurumia!
 
Back
Top Bottom