Weka link mkuuBahati nzuri ipo video original ikionyesha tangu mwanzo wa tukio ila ajabu Muliro kachukua kipande kidogo tu na kusema askari kashambuliwa ila hawasemi wao ndio walianza kushambulia raia wasiokuwa na silaha.
Katika video ambazo Muliro hakuonyesha mojawapo ni ya yule kijana anaitwa Mahinyila huyu ni wakili na alikuwepo mahakamani ila video yake inaonyesha polisi watatu wasio na sare wamemvamia na wanataka kumkamata anapowahoji wao ni akina nani na wanamkamata kwanini hawajitambulishi bali wanazidisha kutumia nguvu je ni sawa mbona mleta mada analeta double standard?
Hata huko Marekani askari akitumia nguvu kubwa kumdhibiti raia bado ni makosa.Unaongelea ulipoangukia sio ulipojikwaa.Umpige askari utegemee uachwe?Hata Marekani mshambulie askari uone utafanywa nini.
Define nguvu kubwa.Yaani umshambulie askari Marekani wakuache?Utapata kichapo haswa.Hata huko Marekani askari akitumia nguvu kubwa kumdhibiti raia bado ni makosa.
Nguvu kubwa ni kama hiyo hapo kwenye video ya huu uzi.Define nguvu kubwa.Yaani umshambulie askari Marekani wakuache?Utapata kichapo haswa.
Ukienda kumfanyia mtu arrest kuna vitu vitatu unatakiwa kama polisi ufanye hakikisho.Mahilinya alikuwa ana resist kuwa arrested.Hakuna double standard.Mahilinya aliwatusi askari na waliojaribu kumweka chini ya ulinzi akawa ana resist.
Okay polisi wamesema kosa lake lilikuwa ni nini ?Lema alijaribu kumuombea kwamba aachwe kwa hiyo ina maana Lema alikuwa anajua ni askari waliovaa kiraia.Alipoona jamaa hataki kuwa arrested akajiondokea zake.Mwisho akasarenda na kupelekwa Polisi.
Nimeweka tayari hapo juu , polisi anaonekana anaanza kumpiga huyo jamaa na fimbo hiyo.Weka link mkuu
Police inatakiwa wachapwe sana ili wajue machungu ya kuonea raiaUkimpiga askari ukipigwa usilalamike.
Wasipombana na uonevu mnawaita waoga lakini hapohapo wakipambana mnadai si raia wema, ndiyo ile old saying ya "ukiniacha unaniogopa na ukinipiga unanionea".
Muda mwingine unakuwaga na akili.Jamaa yupo sahihi
Si ndio mnapokimbilia mkidai mnaonewa.The land of the free.Leo hamupataki tena mkitolewa mifano kutoka huko.Nguvu kubwa ni kama hiyo hapo kwenye video ya huu uzi.
Na Marekani kufanya haimaanishi ndio sahihi, kwanini unaihusudu sana hiyo Marekani?
Na kwa kumsaidia tu huyo jamaa askari wa Marekani wanazo bodycam kwenye combat yao hii pia hurekodi tukio mwanzo hadi mwisho hivyo kama askari wa Tanzania angekuwa nayo tungeweza kusikia hadi walichokuwa wanazungumza hapo polisi muda wa tukio .Hata huko Marekani askari akitumia nguvu kubwa kumdhibiti raia bado ni makosa.
Sawa mkuu, nimezicheki na pia nimeona kuna nyingine hii inaonesha angle nzuri zaidi na mtiririko mzuriNimeweka tayari hapo juu , polisi anaonekana anaanza kumpiga huyo jamaa na fimbo hiyo.
Huyo jamaa ana asira kali
Ametulizwa na hasira zake.Huyo jamaa ana asira kali
Naam, sasa hii video polisi hawataki kuionyesha wao wamekata kipande kidogo tu cha huyu jamaa kumpiga askari ilhali katika hiyo timua timua jamaa wala hakua na nia ya kushambulia bali alikuwa anarudi nyumba ghafla askari kamtandika.Sawa mkuu, nimezicheki na pia nimeona kuna nyingine hii inaonesha angle nzuri zaidi na mtiririko mzuri
View: https://youtu.be/jrBaB65FuK4?si=4O7lX6mc0GO8b-9j
Wewe umekuja na engo mpya.Ukimpiga askari utashughulikiwa.Huyu jamaa anampiga Askari ni mwenzao wanataka tu kubalance unyama wao wa kupiga raia bila hatia