M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Lol....! Umemstukia huyo polisi, wako wengi wameingizwa kufanya spinning. Akili ndogo hao, it's easy to identify them.Joined Aug mnasemekana mu mapolisi polisi. Vipi wewe au japo New Designs pichani hapo ni wenzenu?
Usikute uko kundi moja na hao form four failure, na hivyo umeamua kuja kuja kujikosha na pia kuwatetea wenzako.
Wewe umekuja na engo mpya.Ukimpiga askari utashughulikiwa.
polisi wanatafita mbinu ya kujitetea japo mzani haupo upande waoNaam, sasa hii video polisi hawataki kuionyesha wao wamekata kipande kidogo tu cha huyu jamaa kumpiga askari ilhali katika hiyo timua timua jamaa wala hakua na nia ya kushambulia bali alikuwa anarudi nyumba ghafla askari kamtandika.
Nguvu zenyewe hana masiki ya Mungu mambo mengine yakujitakia tu..
Propaganda video. Hii sio namna ya kufanya tathmini
Na ndio hao hao walioficha CCTV za area D pale 2017!polisi wanatafita mbinu ya kujitetea japo mzani haupo upande wao
Itoshe kusema wewe ni msengerema
Nyie mko na wahuni tu.Bahati nzuri ipo video original ikionyesha tangu mwanzo wa tukio ila ajabu Muliro kachukua kipande kidogo tu na kusema askari kashambuliwa ila hawasemi wao ndio walianza kushambulia raia wasiokuwa na silaha.
Katika video ambazo Muliro hakuonyesha mojawapo ni ya yule kijana anaitwa Mahinyila huyu ni wakili na alikuwepo mahakamani ila video yake inaonyesha polisi watatu wasio na sare wamemvamia na wanataka kumkamata anapowahoji wao ni akina nani na wanamkamata kwanini hawajitambulishi bali wanazidisha kutumia nguvu je ni sawa mbona mleta mada analeta double standard?
Iangalie video original hapo angalia hapo polisi walichoanza kukifanya je hapo polisi wanaweza kutueleza huyo jamaa kosa lake ni nini hadi aanze kupigwa ?
View: https://youtu.be/dJG62_0i7Pc?si=WayC7NM0B0jVeBB1
Video ya pili hii hapa ni advocate Mahinyila na polisi wasio na sare mbona hii Muliro haitolei ufafanuzi?
Kosa la huyu wakili kukamatwa ilikuwa ni nini?
View: https://youtu.be/OoFs1hkQT0w?si=ORsNS1oPQLdo7DAI
Yeah, Lema alikuwa smart japo wana CDM wanamoinda. Licha ya usela wake lakini jamaa kuna namna yuko civilized. Anajua mipaka yake - nadhani kukaa Canada kumemsaidia. Mahinyila alijaribu kutengeneza un necessary scene. Lema aliuona mkenge akajiondokea....Mahilinya alikuwa ana resist kuwa arrested. Hakuna double standard.Mahilinya aliwatusi askari na waliojaribu kumweka chini ya ulinzi akawa ana resist. Lema alijaribu kumuombea kwamba aachwe kwa hiyo ina maana Lema alikuwa anajua ni askari waliovaa kiraia. Alipoona jamaa hataki kuwa arrested akajiondokea zake. Mwisho akasarenda na kupelekwa Polisi.
Kigezo gani umekitumia kusema kulikuwepo na wahuni?Nyie mko na wahuni tu.
Huyo wakili kaambiwa mwanzo tu aondoke akawa anabisha, hata Lema kaondoka baada ya kumtetea ye kabisha ndio wakakabana nae huko mbele.
Labda hata sio wakili, kavaa suti tu ya sh 5000 anajileta kimbelembele wakili msomi wakakabana nae.
Huyo kijana amewadharau wapi polisi?Ni kosa dogo tu la exposure.
Heshimu kazi za watu utaheshimiwa pia.
Hao jamaa wakabaji hawako secure, wanahisi kudharauliwa, kupuuzwa na watu wasio na elimu.
Ndio mana wanatumia miguvu.
Angeondoka zake asingeguswa
Sasa kama alikuwa kwenye so called defence malalamiko ya nini?Ukimpiga Askari utapigwa.Huyo amelipa kisasi anakuaje sio raia mwema kwani raia wanakatazwa self defense hii itufundishe haya mambo yana mwisho watu walipopigwa Kisutu wale walikua Polisi wema? Hizo ni hisia zakuchoshwa nanuonevu nakuona liwalo na liwe tu
Kama kweli vileee🤣🤣🤣🤣Namba ya jamaa apate hata matunda 😁
Pole sana kwa askari wetu.
Imagine wangekuwa 7 tu wakapeleka mkono namna ile na imani police wangekimbiana kufuata maji ya washawasha.
Tafuta 6 na wewe uwe wa 7 mjaribu kupeleka mkono.Imagine wangekuwa 7 tu wakapeleka mkono namna ile na imani police wangekimbiana kufuata maji ya washawasha.