Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Na Mimi nilishiriki Mkuu.....nilisimama masaa kadhaa kwenye muarobaini mkabala na Mackey House ,karibu na fundi viatu almaarufu nyoka ...nikiomba Mungu amponye shujaa huyu!Nilifanya hivyo hadi alipopelekwa Uwanja wa Ndege; Glory to God!
Mbowe alishiriki kubeba koti
 
Hili swala wengi walichangia, hata mbowe pia alichangia.Tusibeze watu, pamoja na yote haifanyi kwamba mbowe apumzike
 
 
Kwa sababu kwa miaka yake yote 21 hajawahi kuchalenjiwa kama sasa.
Ni kweli kabisa Mkuu, hakutegemea kabisa kuwa hili lingetokea

Japo kosa kubwa ni kujaribu kumfanyia mwenzie (Lissu) figisu Kwa kujaribu kumwondoa kwenye nafasi zote

Kuanzia Makamu Mwenyekiti na kugombea Urais

Sasa amekichimbia kaburi Chama chake, hivyo achague mwenyewe kukizika Kwa mikono yake ama vinginevyo
 
Lile tukio liliumiza taifa kwa kiwango kikubwa mno.
Halafu leo mtu anasinama na kumuita Lissu Msaliti anatumiwa kuharibu chadema.
Crazy

Tanzania nzima tuliufyata , tukawa tunaangalia Mpambano wa lissu Maguful na Ben ; Ben chap akapotezwa

Ikabaki vita ya Lissu na JPM..,, wakati huo mbowe anakoholea uvunguni, yeriko anaandika matambiko tu .

JPM alikuwa anatisha kweli mamai I wonder Lissu alitoa wapi Ujasiri kipindi kile

….. maana JPM was real… ilikuwa akikwambia please acha, ukiendelea…. The next step ni anakutoboa kweli….

Sasa Lissu ndio akawa anamdindia mtu kama huyu . It is in those days tulipata keyboard warriors wengi sana …. Lissu was the only standing man 🧍‍♂️behind the consciousness of JPM .

Wakaanza na swaga za tuondoe Tinted kwenye gari zetu …..the rest was history
.
 
Mbowe amewadhalilisha vip wachagga we p.mbx.

Wachagga wanahusikaje na CDM,

Wachagga wananufaika zaidi na CCM na CDM ni chama cha siasa, na hakiwakilishi wachagga, unajua idadi ya viongozi wa CDM wachagga ni wangap?

Usirudie tena kutaja wachagga kwenye propaganda za hawa wapuuzi....
Mahali popote akiwa mchagga.. ahh kelele ila mwingine hapana ni utaifa... Usiwape wajinga nguvu.
 
Mmmh !
Kwakweli !
 
 
Mleta mada alikuwa hospitali na Lissu ndio maana anajua kila kitu.

Alifika wa kwanza kuhakikisha anapewa huduma sahihi, alifanya mipango ya kutafuta hospitali Nairobi kwa usalama wake (yeye ndio alitoa wazo Lissu asitibiwe hospitali ya Dodoma akiwa stable), ndege ya kumpeleka Nairobi aliitafuta yeye, Nairobi alimsindikiza yeye njia nzima kanyanyua mikono kushika chupa za damu alizokuwa anawekewa Lissu na siku hiyo pia nguo zote na yeye zilijaa damu kama Mbowe.

Tuwe na Shukran
 
Kuna mchaga na mmachame, Wamachame ni wanafiki sana, wabinafsi na waroho wa Fedha
 
Mbowe aone AIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…