Kwenye hili hapana. Wazazi wanatoa zawadi kwa mtoto wao hawawezi mpa mwanaume ambaye hajaoa. Kumbuka hiyo ni send off huyo hajawa mume tayari anaweza badili maamuzi dakika yoyote.Mkuu kwanza familia ya mwanamke wamemdharau sana, wameshindwa nn kuorodhesha hivyo vitu kwa jina la mkwe wao badala ya Binti yao?
sas si kudhalilishan ukoNope hivyo vitu huwa wanatajaga tu nimefanya Sana hiyo michezo
Hatutak matajiri kauli mbiu ni BIKRAAKwani wanaume mnataka nini jamani!! Si kila siku humu mnajichetua kuwa muoe matajiri!! Haya sasa, ndio hao hapo🤣🤣🤣
Ukipenda boga penda na ua lake.
Wanajimilikisha mali za wenyewe🤣🤣🤣Kwenye hili hapana. Wazazi wanatoa zawadi kwa mtoto wao hawawezi mpa mwanaume ambaye hajaoa? Kumbuka hiyo ni send off huyo hajawa mume tayari anaweza badili maamuzi dakika yoyote.
Mara hiii🤣🤣🤣🤣Hatutak matajiri kauli mbiu ni BIKRAA
Kwani hapo kawa mke tayari?Huwezi kuumpa zawadi yoyote mke wangu bila concern yangu kama Mume, je kama ni hawara wa Deborah ndiyo katoa hizo zawadi kupitia mama mkwe utajuawaje!!?? Mwanaume usikubali haraka haraka kila kitu kutoka ukwenu hata kama kapewa mkeo,chunguza kwanza
ndo kipaumbele kwa sasaMara hiii🤣🤣🤣🤣
Ana khali gani kiuchumHahaha clip ya jamaa(classmate) yangu inasambaa sana.
Huyo MC kazingua.
Na bado, mtabadili sanaaa vipaumbele🤣🤣🤣ndo kipaumbele kwa sasa
Kama nilisha lipa mahari kwa wazazi na aakaipokea bila shida huyo tayari ni mke wangu,mengine yote yaliobakia ni mbwembwe zetu tu sisi waja!!Kwani hapo kawa mke tayari?
Maoni yanatolewa kwa mihemko ya hasira kwa alichofanyawiwa mume mtarajiwa. 🤣Wanajimilikisha mali za wenyewe🤣🤣🤣
Kwa msimamo wa mila na desturi ni mke ila ndoa isiyohusisha umiliki wa mali pamoja. Hapo kila mtu ana mali zake mpaka ndoa ya kisheria ifungwe. Hizo ni mali za mwanamkeKama nilisha lipa mahari kwa wazazi na aakaipokea bila shida huyo tayari ni mke wangu,mengine yote yaliobakia ni mbwembwe zetu tu sisi waja!!
Aah kama hivyo sawa.. lkn hata hivyo hizo zawad zinamzidi kiwango Binti yao zitaivuruga ndoaKwenye hili hapana. Wazazi wanatoa zawadi kwa mtoto wao hawawezi mpa mwanaume ambaye hajaoa. Kumbuka hiyo ni send off huyo hajawa mume tayari anaweza badili maamuzi dakika yoyote.
Oya masta wewe ndo ulitufundisha huu ujinga humu ndan kuwa ukitaka kuoa na uko ugeneni angalia mwanamke ambaye hata ukidakwa na police ndani ya dakika ya mbili inapigwa cm moja tu ya maelekezo unaachiwaNope hivyo vitu huwa wanatajaga tu nimefanya Sana hiyo michezo
Kila siku wanasema hawataki mwanamke masikin, ambaye ni omba ombaKwani wanaume mnataka nini jamani!! Si kila siku humu mnajichetua kuwa muoe matajiri!! Haya sasa, ndio hao hapo🤣🤣🤣
Ukipenda boga penda na ua lake.
Master tulia si mimi
Kama mwanaume anajielewa ndoa inasonga mbele hayo mengi ni mbwembwe za sherehe. Na kama ni Wanyakyusa wenzangu hizo assets hazipo.Aah kama hivyo sawa.. lkn hata hivyo hizo zawad zinamzidi kiwango Binti yao zitaivuruga ndoa