Huyu kijana Amedhalilika sana

Huyu kijana Amedhalilika sana

Nilishaenda kwenye harusi wakataja honey moon kwenye hotel kubwa, baada ya harusi bwana harusi alikuwa mshikaji wangu akanitonya nimpe lift wanaelekea ubungo kwenye nyumba ya kupanga laki mbii na nusu kwa mwezi.
Mimi nadhani hela za harusi ni za majini.

Yaani watu wako tayari kutumia tens milions of money then wakaenda kuanza maisha as Hell Out
 
Back
Top Bottom