Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa.

Ila swala la bei ni jambo jingine.

Screenshot_20250309-220501.png
Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete?

Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.

Screenshot_20250309-220740.png

Screenshot_20250309-220802.png
 
Sina roho mbaya lakini hivi vidude vyake vitafeli, sijui ni nani aliyempa wazo la kuanzisha brand ya BT speakers, ukiacha hilo kuziuzabei sawa na brands kubwa...

Ukiwa China, local brands zimeweza kufanya vizuri kwa sababu ya kuuzwa kwa bei ya chini karibu 50% less ya brands za magharibi...
 
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa.

Ila swala la bei ni jambo jingine. View attachment 3265009
Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete?

Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
View attachment 3265013
Kwani huyo MAJIZO NDIYO NANI HUKO TANGANYIKA 🤡🤡NASHAURI AITWE 👉JIZI CHIZI
 
Sina roho mbaya lakini hivi vidude vyake vitafeli, sijui ni nani aliyempa wazo la kuanzisha brand ya BT speakers...

Ukiwa China, local brands zimeweza kufanya vizuri kwa sababu ya kuuzwa kwa bei ya chini karibu 50% less ya brands za magharibi...
Hilo wazo la kufeli ama kutofeli ni Moja ya matokea ktk biashara yoyote inayoanzishwa
 
Back
Top Bottom