Hawezi kukupa coz anachojua base kubwa ndiyo good music.Ili upate music bora kutoka kwenye speaker ni lazima frequencies zote ziwiane yaani base, midrange na treble.
Hii huwezi kuzipata kwenye subwoofer nyingi za kichina. Ukianza kuongeza sauti kwenye subwoofer nyingi za kichina kuna hali ya kubadilika na kupishana kwa hizi frequencies.
Frequencies zote zikiwa katika mzani sawa hapa utapata kitu kinachoitwa clarity and detail.Hizi mara nyingi unazipata kwenye sauti ya juu!
Sidhan kama una akili timamu ww hivi haya ma hometheater ya kchina, sound bar za kchina na hifi music yanayokuja hapa bongo unataka kuniambia kuna quality hiyo unayoisema kuzd masubwoofer? Umesema mi nachojua ni bass kubwa tu nadhan ww umekalili ukiona mzk una twta, mid na bass umemaliza turud kwny hoja hzo jizo zna quality gn ya kuzd ma subwoofer nataka jibu.