Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Hapo kazi ipoJizoooo🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kazi ipoJizoooo🤣🤣🤣
Hilo wazo la kufeli ama kutofeli ni Moja ya matokea ktk biashara yoyote inayoanzishwa
Sina hakika kama kutakuja tokea redio kama hiiHivi anaijua sea PianO 993
Kariakoo kuna speaker kama hizi zinauzwa 200k hadi 250k mjomba ni inabebeka lakini Mchina alifanya kufuru mziki wake ni wa kiwango cha juu sana JBL hii ya hapa na kama unaupiga kwenye chumba kimoja mtu anaweza Kudhani ni sound barAcha ajaribu bahati yake......ndio uthubutu
Nenda Home City Mall .....kwa wachinapale mlimani city.....utarejesha feedback hapa.....najua soko gumu sanaaaKariakoo kuna speaker kama hizi zinauzwa 200k hadi 250k mjomba ni inabebeka lakini Mchina alifanya kufuru mziki wake ni wa kiwango cha juu sana JBL hii ya hapa na kama unaupiga kwenye chumba kimoja mtu anaweza Kudhani ni sound bar
Hii kupayuka kwenye matangazo ya wafanya biashara hovyo nimepanga kupafungulia kesi kesho kama mwananchi hii Dar imeoza ni Ina makelele Dar ni trashNi kweli...
Na ndio maana nikaweka swali sijajua ni nani kampa hilo wazo la biashara hiyo ambayo sokoni Tanzania ina brands ambazo zinapendwa na Watz na ni brands kubwa...
Kwa kuwa hizini new entries, mahali pekee angeweza kuwin ni kwa kuziuza kwa bei chee, alenge kizazi kama wanafunzi, wale wafanya biashara wanaotumia BT speakers kupayuka matangazo n.k
Kuna akili inaniambia pia, huenda jina ni lake lakini biashara ni ya wadosi wengine...
Ni JIZOYake ni ya kampuni gani ?
Ila kwa akili ya watanzania wala siamini kama unamuombea afanikiwe kukuzidi.Abalikiwe sana MUNGU MWENYEZI amsaidie sana afanikiwe
Hapana mtumish huyo ni tajiri ananizid kila kitu kuhusu mali za dunianIla kwa akili ya watanzania wala siamini kama unamuombea afanikiwe kukuzidi.
Hahahahaha......... Wa tz wanafiki kumzidi SHETANI.
Huu sio mziki ni makelele mkuuSina hakika kama kutakuja tokea redio kama hiiView attachment 3265056
Ina maajabu ganiSina hakika kama kutakuja tokea redio kama hiiView attachment 3265056
Kwa wakati wake ilikua si habaIna maajabu gani
Nina piano kama hiyo mwaka wa nane sasa lkn inagonga kama nimeitoa dukani Leo. Hakika watengenezaji walituliza vichwaSina hakika kama kutakuja tokea redio kama hiiView attachment 3265056
Heri yako wewe unaujua mziki,USWAHILINI HILI NI DUDE HASWAA.Huu sio mziki ni makelele mkuu
Sema bass ni nzito sana speaker hazina stereo kabisa
Ya Kibingwa Sana Hii B BoyHapana mtumish huyo ni tajiri ananizid kila kitu kuhusu mali za dunian
Kwanza anatokea familia bora mimi familia yangu hohehahe
Pili ana pesa nyingi mimi mfukoni kwangu hohe hehe
Tatu ana marafiki wenye pesa mimi Sina hata rafiki wa kudumu
Nne ana mke mzuri mimi kila dem hunipiga kibuti
Tano ana miradi ya maana na kaajiri watu wengi wanamtegemea lakin mimi Sina hata kiwanja
Kwa maana hiyo Sina namna yeyote ile ya kuwa na roho mbaya kwa mtu kama huyo
Tuombeane ndugu yangu
🤣Hivi anaijua sea PianO 993