Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Hizo ni speaker kweli?!,mbona me naona vipochi vya kina dada,mikoba na mabegi ya kusafiria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅😅Hii kupayuka kwenye matangazo ya wafanya biashara hovyo nimepanga kupafungulia kesi kesho kama mwananchi hii Dar imeoza ni Ina makelele Dar ni trash
😅😅😅😅😅 CC. Erick Shigongo .Hao hawanunuagi, wanakopaga tu....ukifuatilia malipo unaambiwa "kunywa maji mwanangu"
Nimependa hiyo Jizo 4, imekaa kivintage sana, great look. Hongera zake Jizo, tumuunge mkono.Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa.
Ila swala la bei ni jambo jingine.
Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete?
Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
ni sound proofHiyo ya mil 3 ni soundbar?
Mimi ndio niliuliza swali nashagaa unanihusisha na spika za Jizompangilio upi unaosema uliopo kwny hivyo vijiredio vya jizo twambie hapa kama card za amplifaya znazofungwa kwny seapiano kwasasa ni class D sawa na znazofungwa kwny hometheater nazo n class D sawa pia na zlizopo kwny sound bar bass speaker.
Anawaletea keleleNimependa hiyo Jizo 4, imekaa kivintage sana, great look. Hongera zake Jizo, tumuunge mkono.
Hapana mtumish huyo ni tajiri ananizid kila kitu kuhusu mali za dunian
Kwanza anatokea familia bora mimi familia yangu hohehahe
Pili ana pesa nyingi mimi mfukoni kwangu hohe hehe
Tatu ana marafiki wenye pesa mimi Sina hata rafiki wa kudumu
Nne ana mke mzuri mimi kila dem hunipiga kibuti
Tano ana miradi ya maana na kaajiri watu wengi wanamtegemea lakin mimi Sina hata kiwanja
Kwa maana hiyo Sina namna yeyote ile ya kuwa na roho mbaya kwa mtu kama huyo
Tuombeane ndugu yangu
Teheeeeeee au azipe uspesho jizo CcAngeleta Za Kijani Na Njano Akawauzia CCM
Kweli mtumish hujakoseaUnaweza ukawa huna hivyo vyote lakini ukawa na utajiri wa amani 🤔na afya tele Mungu hakunyimi vyote
knachozungumziwa ni nn kwny hii thread?Mimi ndio niliuliza swali nashagaa unanihusisha na spika za Jizo