Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Kwani huyo MAJIZO NDIYO NANI HUKO TANGANYIKA 🤡🤡NASHAURI AITWE 👉JIZI CHIZI
Screenshot_20250310-085605.png
 
Ukiwa na hela Biashara unaindesha
Unaweza kuwa bidhaa Kama hiyo ya Jizzo Ila ikawa haitoki kwakuwa hauna hela


Kwa nchi Kama Tanzania kuuza bidhaa ya 100K ambayo umeifanyia good promotion inaenda na kufanya vizuri .

Radio na TV
Bado mitandao

Yaani sioni akifeli huyo jamaa Biashara hiyo ingekuwa ngumu endapo tu angekuwa Hana uwezo wa kuifanyia marketing
 
Kifupi hizo speaker ni mchina alichofanya nikuweka brand yake tu..
Kwa mfano mimi niende china kwenye kampuni ya sundar wanitengenezee spaeaker ziitwe inside10
 
Tupe ubora wa hizo Sea Piano mkuu
Hawezi kukupa coz anachojua base kubwa ndiyo good music.Ili upate music bora kutoka kwenye speaker ni lazima frequencies zote ziwiane yaani base, midrange na treble.

Hii huwezi kuzipata kwenye subwoofer nyingi za kichina. Ukianza kuongeza sauti kwenye subwoofer nyingi za kichina kuna hali ya kubadilika na kupishana kwa hizi frequencies.

Frequencies zote zikiwa katika mzani sawa hapa utapata kitu kinachoitwa clarity and detail.Hizi mara nyingi unazipata kwenye sauti ya juu!

Nb: Ili upate mziki bora ni lazima ugharamike coz kitu kizuri siku zote ni gharama.Hii ni kwa wale wanaoufahamu muziki na wenye idea kidogo ya
sound engineering.
 
Back
Top Bottom