Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Umeandika maelezo mazuri na ya kitaalamu,kwa uelewa wako wewe ni brand gani mtu anaweza kununua na kupata muziki wenye mpangilio uliousema na bei yake?
 
unataka ubora kwny nn material, sauti au nn? Kwmb hzo jizo znazd ubora wa seapiano kwa ktu gn sasa kilichomo wkt nazo zmefyatuliwa china znatofauti gn na radio za kuchaji za kichina kama oraimo.
Ubora kweye mpangilio wa sauti
 
🤝
 
Ubora kweye mpangilio wa sauti
mpangilio upi unaosema uliopo kwny hivyo vijiredio vya jizo twambie hapa kama card za amplifaya znazofungwa kwny seapiano kwasasa ni class D sawa na znazofungwa kwny hometheater nazo n class D sawa pia na zlizopo kwny sound bar bass speaker.
 
 
Ubora kweye mpangilio wa sauti
ubora wa mpangilio wa sauti kwa mizk ya bongo hapa made in china hakuna si hometheater, si sound bar wala si hifi music may be upate ya mtumba au uagze online so kwa hlo nikiwa na akili timamu huwez pata bnafs ndan nimefunga mzk wa gari nina bass spka jbl 12 inch, booster, equalizer na radio ya gari ynyw pamoja na mid spka na twita ndo mzk nlionao baada ya kuhama toka kwny ma subwoofer kfupi nina mzk mzto sn na quality ya sound ipo. Turud kwny hoja je hzo jizo zna ubora gn mkubwa kuzd ma seapiano nataka useme hapa. Zna tofauti gn na hz radio zngne za kuchaji za oraimo nk.
 
Vifaa vya music kodi yake ipp juu ukiweza kuuza lazima bei itakua juu..
 
Umenikumbusha kuna speaker kubwa kiasi ya OVAL SHAPE aina ya JBL tuliitumia kwenye meeting ya kampuni MeTL sijawahi kuona speaker inayotoa sauti nzuri kama hiyo na inaingia hadi ndani ya swimming pool kuuliza inauzwa 1 million plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…