Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

Alibaba customization au kaenda kiwandani na specs zake
 
mpangilio upi unaosema uliopo kwny hivyo vijiredio vya jizo twambie hapa kama card za amplifaya znazofungwa kwny seapiano kwasasa ni class D sawa na znazofungwa kwny hometheater nazo n class D sawa pia na zlizopo kwny sound bar bass speaker.
Mimi ndio niliuliza swali nashagaa unanihusisha na spika za Jizo
 
Unaweza ukawa huna hivyo vyote lakini ukawa na utajiri wa amani 🤔na afya tele Mungu hakunyimi vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…