Hii mbinu ya kula demu wa mwenzioNayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Ukimpata mtaalamu mzuri naomba koneksheni🤣Ahsante mkuu najua nawewe umeona mwanamke mwenzio alichinifanyia sio poa
Nataka nimshughulikie makaveli10Vipi tena huko kuna mwanetu anazingua au
Alooh kiongozi makaveli10 unaniruhusu nimpe konekshen huyu bibie asije tuharibia kiumeniNataka nimshughulikie makaveli10
Aaah tulia basi🤣Alooh kiongozi makaveli10 unaniruhusu nimpe konekshen huyu bibie asije tuharibia kiumeni
Mimi sijauliza wadhifa wako kiroho lakiniHapana,Mimi ni mama mchungaji mkuu
MbakeeNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Nimewekeza kihisia na kirasilimali mkuu hebu fikiria toka tupo form two hadi chuo bado nipo nae kama ingekuwa ni tamaa ya kubaruza na kusepa ningeshaachana nae kitambo sanaKama lengo lako ni kumbandua tu then upite hv sawa, ila kama unafuture naye utateseka sana baadae ukimloga.
Acha hizo akili za kibongo tena unaweza ziita ajabu na kweli za tabaka la siii hasa,tena zile za kijani.Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
SawaMimi sijauliza wadhifa wako kiroho lakini
Hatari sanaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Tulia bwana.Wataka umlipue limbwata mwanetu nitulie hiyo haiwezekani😅😆