Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Hongera sana mkuu. Taifa linahitaji vijana jasiri kama wewe.
 

ukampiga ma nini? akawaje?
 
Hii story yako itajirudia na kwangu pia siwezi muacha hivi hivi nitakuwa fala
 
Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisa
Unahitaju kuumizwa zaidi ili akili na hisia zikae sawa. Inaitwa character development

Hata hivyo pambana pengine unaweza pata najiba unayoyataka au ukawa broken beyond repair
 
Unahitaju kuumizwa zaidi ili akili na hisia zikae sawa. Inaitwa character development

Hata hivyo pambana pengine unaweza pata najiba unayoyataka au ukawa broken beyond repair
Kibao kitageuka ni zamu yake kuumia watu wengi tu kule kwetu wanapigwa kipapai wanatulia
 
Unavyozidi kumganda ndio unamkosa kabisa, punguza shobo uone kama hujamnasa.
 
ChatGPT Answer:
We kuweza?
 
Mwanamke yupo pekee yake? Na kwann unatumia pesa kwa mwanamke ambaye sio wako?
 
Mh, sababu ya mapenzi?
Hapana bro,ruhusu moyo ukate tamaa...usijekosea masharti huko ukampa uchizi mtoto wa watu
Hatuwezi pata kilakitu maishani tafadhali
Nimeondoka na hii😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…