Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

wamezoea anapokea tu anapokea tu mtu si ndugu yako why?? liwe funzoo kupokea pokea kapokea vya mtu asiyepokeleka potelea pote roga mkuuu
Ahsante mkuu siwezi kukubali kirahisi rahisi mganga ataamua katika hili huyo ndo kipenga cha mwisho kwangu
 
Mkuu mimi sio domo zege sema yule binti nina malengo nae
Malengo gani na hakutaki.Ukikataliwa,Katalika tatizo lenu nyinyi wajinga mnataka kushindana na Mipango ya Mungu..Mungu kuna kitu anakuepusha hapo usilazimishe we mburukenge🤣
 
Malengo gani na hakutaki.Ukikataliwa,Katalika tatizo lenu nyinyi wajinga mnataka kushindana na Mipango ya Mungu..Mungu kuna kitu anakuepusha hapo usilazimishe we mburukenge🤣
Mkuu ingekuwa hivyo Mungu angeanza kuniepusha pesa zangu zisiliwe
 
Pumbaf kabisa kijana mdogo unawaza K tu.
Nimevumilia kusoma kwangu kote nishamaliza masomo nipo na mishe zangu kama mwanaume izo mishe za midinyo hazikwepeki mkuu
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…