Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukute anatabia ya kuota mademu zake
Anaanza kukushika shika unaweza tia mtu kofi usingizini akizinduka unasingizia wachawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiih.
 
Ulifanya vizuri, ila sometimes unamfanya yule mtu ajisikie vibaya lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada umenikumbusha mazungumzo fulani redioni juzi juzi. Eti jamaa anashinda ndani tu anaangalia tv. Akiulizwa ana mpango gani wa maisha anasema " kuna mchongo fulani nausikilizia"
Je ukibuma? Badala ya kutafuta plan B anaagalia tv tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2]mkuu hata mi nilipata mgeni ambaye nlisomaga nae chuo nae ana pigo kama za huyo jamaa yako huyu wangu ubrazamen mwingi,ila nashukuru kasepa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamba umenichekesha kinoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechela hadi mbavu zinauma mweeeeh.
 
Alivyokuja alikuta k vant nusu chupa akagida yote,jana nikasema ngoja nikachukue tena chupa kubwa tuje tupige na jamaa ikakata,nikaona kaenda shop kaja na double kick,leo nimemkuta yuko na chupa ya k vant anapiga taratibu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angepigwa yeye japo kuwa sijui ila ningejifunzia kwake kula vipara[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mmevurugwa lol.
 
Mkuu yule jamaa ni kero aisee sijui hata akili zake zipoje ni kitambo ila nashukuru aliahidi kukaa wiki na ikawa hivyo angezidisha ningekuja kuomba ushauri humu[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwa sisi ambao hatuja zoea kulala wanaume watupu kitanda kimoja hii kitu inatuumiza Sana ukifika muda wa kulala
Mnabadilishana upande, m1 kichwan, mwingne muguuni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…