UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Thank you 👏Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Upelelezi wa Moto pale msamvu mpaka leo kimya
Upelelezi wa Moto pale k'koo mpaka leo kimya
Upelelezi gani tunnaousubiri Zaid ya kutupotezea muda
Police wa kitz wadhulumaji sana
Huyo kijana hawezi kuwehuka ghafla
Ichunguzwe kuna nini maana jamaa wanasema ni mfanyabiashara wa madini
Sina utaalamu wa kijeshi lakini uzoefu unaonesha kwenye tukio kama lile dawa huwa ni kumfyeka mhusika. Hata Marekani ambako wanaongoza kwa visa vya aina hii, wadunguaji hummaliza kabisa mhusika. Ninadhani kuna sababu za msingi kufanya hivyo. Jamaa anakuwa na mashine heavy kama huyu wa leo hapa Tz,mkijidai mnamvunja mguu, bado ana mashine ,ataendelea kuachia mchekeche maana hamjua ana uwezo wa aina gani.Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
- Ni nani?
- Katumwa na nani?
- Yuko na akina nani (wako wangapi)?
- Nini dhamira yao?
- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Hawezi akawa chizi akawa na uwezo wa kuwaambia wapita njia wengine nyie piteni, tu mimi nawataka polisi tu?!!angekuwa chizi kweli maafa ambayo angesababisha yangekuwa makubwa sana, !!kuna kitu tu, tena dhidi ya polisi!!Huyo jamaa alikuwa Chizi asiekuwa na mafunzo yeyote huwezi kukaa peupe vile huku umeibagala manati hadharani
Hata kama ikija kujulikana kuwa ni Gaidi lakini ana uchizi vilevile.
Aliwaambush na Ambush huwa haina ujanja.hana mafunzo ndo kawakalisha sasa polis wa 3
Uchizi uko wa aina nyingi sana Bro,unaweza ukawa na Paranoid dhidi ya watu waliovaa uniform.Hawezi akawa chizi akawa na uwezo wa kuwaambia wapita njia wengine nyie piteni, tu mimi nawataka polisi tu?!!angekuwa chizi kweli maafa ambayo angesababisha yangekuwa makubwa sana, !!kuna kitu tu, tena dhidi ya polisi!!
Bora umemfumbua macho huyu chizi.Hawezi akawa chizi akawa na uwezo wa kuwaambia wapita njia wengine nyie piteni, tu mimi nawataka polisi tu?!!angekuwa chizi kweli maafa ambayo angesababisha yangekuwa makubwa sana, !!kuna kitu tu, tena dhidi ya polisi!!
Hii inatoa funzo kuwa polisi wetu wanatakiwa mafunzo ya kutumia Silaha upya. Ni aibuNdio wakose vile he!!!!
Tuache mihemko! Hii inaonesha kuwa kurudisha polisi katika mafunzo ya shabaha hakuepukikiNi punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania ina Polisi.Kile ni kikundi cha vichwa vya wendawazimu ambao kazi yao ni kudhulumu,kupora mali za uma na kuhakikisha kuwa CCM inaendelea kubakia madarakani.
Kimsingi hata ile lisasi iliyo muangusha ilikua ni bahatiii tuuu.na jamaa asingetoka katika kile kibanda basi naaamini makontena yoote ya police tanganyika yangeisha bila kumpiga hata moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Point. Au hata angepigwa za miguu tu. Na aliyemuua ametumia risasi kama 5-8 hivi kupatia shabaha! Wakati jamaa mwenyewe alikuwa amesimama kama mti tu.
Huyu jamaa aliishiwa risasi akatoka kwenye kibanda akajisalimisha kwa kunyoosha mikono juu . Alipaswa kukamatwa Kwanza ahojiwe ndo auawe.Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Hivi ule mkuki uliokuwa unatumika kumlinda lissu uko wapi?Polisi wa kuwakamata wahalifu halisi tunao basi? Bosi wao (IGP) yupo busy kuwathibiti Chadema ambao hata hawana mkuki wa mbao!
Warudishwe katika mafunzo ya shabaa au katika mafunzo ya kuikimbia dhuluma na kuiba mali za uma?Unaelewa kuwa hawa polisi wameuawa baada ya kupora madini ya Bwana Hamza?Unaelewa kuwa hawa ambao unawaita kuwa ni Polisi hapa Tanzania ni vibaka na majambazi?Tuache mihemko! Hii inaonesha kuwa kurudisha polisi katika mafunzo ya shabaha hakuepukiki