Haya ni maoni yako ila tambua kuwa huyo jamaa alikuwa mobile siyo kuwa alikuwa kasimama tu. Ni lazima atakuwa na weledi mkubwa wa kutumia silaha hivyo lazima atakuwa na ana mafunzo kiasi ya kijeshi
Hakuna kitu kama hii, huyo jamaa alikuwa anaranda barabarani na kitambi chake. Polisi walifyatua risasi ovyo yani yeye asiye na mafunzo kaua wanne alafu wao wanazubaa nusu saa nzima
 
Tukio 1 tu limegeuza matukio mazuri maelfu na maelfu kuwa hakuna kitu na Askari kuonekana hawana maana.

Wapumzisheni Askari wetu jamani, siasa zenu za kipumbavu zisiwatoe hata ufahamu wa kuvukia barabara.
Wewe hata ufahamu wa kuvukia barabara nadhani huna. Kilichoandikwa kingine umeleta hoja mfu nyingine. Very stupidity at its best.
 
Halafu kuna taarifa za mashuhuda kuwa alijisalimisha still polisi wakampiga risasi.

Polisi wetu ni debe tupu kichwani kwa sababu Tanzania haijawahi kuwa na polisi wa wananchi tofauti na hawa polisi wa kuitumikia CCM ambao wamezoea mabavu ya kuiweka CCM madarakani na kuilinda isiangushwe kwa nguvu za uma.
Your browser is not able to display this video.
 
Keyboard expert.
 
Mh ndugu taratibu.
Unatakiwa uangalie je Tz ni nchi ilopitia matokea haya mara ngapi na imezoelekaje mazingira yake?
Tz imezoeleka nchi ya amani ndugu na ndio maana hata tukio km la jana limesumbua kwasababu jeshi letu lime relax kulingana na hali ilokuwepo nchini.
Jiulize mbn USA walishindwa kumkamata Farah Somalia na wao walikua na jeshi kubwa well equiped?
 
Kuna tatizo kubwa sana kwenye vichwa vya Wabongo. Msongo wa mawazo ni tatizo kubwa na sehemu kama hizi hutumika kupunguza msongo.
 
Wamekosea sn kumuua mtu aliye sarenda.Ni kosa sn
 
Sijui ingekuaje Kama angeamua kudhuru na raia wa kawaida pale yangekua maafa yasiyomithilika hata kidogo...ila sisi watz wengi tu wajinga Sana.
 
Kila mtu nyuma ya keyborad ni warrior,expert na kujua kila kitu.
 
Hivi police hawana masnaper mpaka wanalazimika kupambana na msomali kindezi ndezi namna ile
 
Hii ni taaluma ambayo sii yangu ila ningetegemea lengo kuu la police liwe kumweka chini ya ulinzi na sio kuuwa. Faida za arrest ni kubwa kuliko kuua. Alipojitokeza hadharani ilikuwa dalili za kutaka suluhu wangetumia weledi wao kumfanya asiwe madhara zaidi kwao na kumweka chini ya ulinzi. Wange mwambia weka silaha chini through vipaaza sauti sijui kama vilikuwepo hii ni mkujaribu kuweka mawasiliano. Wameuwa na kupiga maiti risasi za kutosha.
 
Wewe hata ufahamu wa kuvukia barabara nadhani huna. Kilichoandikwa kingine umeleta hoja mfu nyingine. Very stupidity at its best.
Kwa upumbavu wako unadhani ukiandika lugha ya utumwa ndiyo utaonekana una akili za kuvukia barabara?

Ungakaa kimya pia ungeonekana una hekima sababu ujuaji mwingi mbele giza.
 
Huwezi kupanda maharagwe ukatarajia kuvuna mahindi. Kama ungekuwa na akili ungejiuliza kwa umakini mkubwa zaidi chanzo cha chuki hiyo ni nini badala ya kubwabwaja tu kuwa watu ni 'wapumbavu'.
 
Umeona eenhh??!! .Mimi nilifikiri ingekuwa busara km wangemjeruhi tu halafu awe chini ya ulinzi ili ahojiwe tuweze kupata undani wa Nini kilisababisha achukue uamuzi huo.
 
Wewe ndo low IQ,huna ujualo Zaid ya ujinga na upumbavu tu umekujaa kichwani
 
Sasa wakute kisutu kwenye kesi ya mbowe unaweza kufikiria swat wa usa,kumbe wapumbavu tu mikwara mingi hamza kawakalisha
 
Kila mtu nyuma ya keyborad ni warrior,expert na kujua kila kitu.
Wabongo hawanaga akili kabisa.
Nawashangaa sana.
Badala ya kuangalia vya maana wanaanza kukosoa ujinga.
Wamesahau kuwa polisi hao hao ndio waliweka hali shwari Kibiti na mpkn mwa Mtwara.Wameshasahau polisi hao hao ndio walioleta hali ya utulivu nchini.
Wanashindwa kupima tukio limetokea kwa mazingira gani na nchi yetu imezoea hali gani.
Hapa ndipo naelewa kwann Tz tuna safari ndefu ya maendeleo.
 

Jamaa kawachangamsha kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…