Inawezekana alikuwa anamtafuta gahidi aliyepo gerezani maana sasa kwa kuuutangazia ulimwengu kuwa tanzania kuna magahidi ndiyo tunaanza kuwaona sasa
 
Kuna polisi alitaka akamkamatie mle kibandani akala ya paja yeye mwenyewe kakimbia hadi kaenda kudondokea kule getini
 
Wamkamataje wakati mhuni kawaua wawili
Wangemsubiri mpaka aishiwe risasi then wamkamate....bunduki aliyokuwa nayo inajulikana idadi ya risasi inazoweza kubeba kwa wakati mmoja. Sasa polisi watakosa pakuanzia kuhusu huyu mtu ametoka wapi, ana lengo gani, je yuko pekee yake au ni kundi kubwa na je wanapatika wapi...nchini au amevuka mpaka...! Hizi zote ni taarifa muhimu sana kiintelligensia.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu jamaa km angeamua kumaliza watu angeua wengi kulikuwa basi Eicher mbele yake akalipotezea
Alikuwa anasubiri msafara ukageuza baada ya raia mwema kutoa taarifa..
Sikiliza hapa raia akitoa maelezo ikabidi msafara urudi.
Naomba niishie hapo
Your browser is not able to display this video.
 
Weledi tu... Huyu walikuwa wanaweza kumtuliza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…