umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chademaPolisi walipaswa kumtia nguvunu huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lkn kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uwoga uliyokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi) ?
-Nini dhamira yao?
-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata chadema tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu???
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious