Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Mimi kilicho nishangaza zaidi ni kua hata jenenerari manyota wa uhamiaji hakua na taarifa ya kinacho endelea hadi raia walipo ingilia kati kuwa zuia kua huko mbele kuna mwana ccm anapambana na wanaccm wenzie.

Yaani msafara wa jenenerari, pamoja na mbweza ving'ora hua unakwenda bila hata kujua usalama wanjia wanayo kwenda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ila, uhamiaji wakisikia kuna rori limebeba wasomali, siokwa mbwembwe zilee.
 
No Vicky. "Enhanced interrogation" itakufanya useme tu. We're not sure hata kama ni gaidi. Sidhani kama kuna gaidi mjinga kama huyu bwana. We would get crucial information. Police must say something. Who's this guy?
Kabisa mkuu,hakuna gaidi waviileee.
 
Askari wenye akili wangepiga risasi sehemu muhimu za yule mhalifu ili kumdhoofisha kama mikono, miguu ama mabega. Mwenyewe angenyoosha mikono.

Walichofanya hawa polisi wetu ni uzwazwa

kawaida ya wabongo ni ujuaji.

unajua kwa silah ya kawaida kulenga target sahihi kwa mtu anayetembea umbali ule ni changamoto kiasi gani!!!
 
Inawezekana alikuwa anamtafuta gahidi aliyepo gerezani maana sasa kwa kuuutangazia ulimwengu kuwa tanzania kuna magahidi ndiyo tunaanza kuwaona sasa
gahidi?
magahidi?
Unatafutwa na uhamiaji wewe.
 
Warudishwe katika mafunzo ya shabaa au katika mafunzo ya kuikimbia dhuluma na kuiba mali za uma?Unaelewa kuwa hawa polisi wameuawa baada ya kupora madini ya Bwana Hamza?Unaelewa kuwa hawa ambao unawaita kuwa ni Polisi hapa Tanzania ni vibaka na majambazi?
Mengine ni yako, mie nadadavua kabla ya kuuawa alipokuwa barabarani
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?
  • Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Kuuawa ndio ilikuwa akili ya mwisho ya IGP huko Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Situation gani? How can the entire police force fail to arrest one person?? Kwa nini wasingeomba msaada kwa makomandoo wa JWTZ?? Bado naunga mkono hoja kwamba wamepoteza fursa muhimu ya kumhoji na kujua wako wangapi!!
 
Situation gani? How can the entire police force fail to arrest one person?? Kwa nini wasingeomba msaada kwa makomandoo wa JWTZ?? Bado naunga mkono hoja kwamba wamepoteza fursa muhimu ya kumhoji na kujua wako wangapi!!

Hii nchi kila mtu ni mjuaji, kwahio tuseme kumtungua wamefanya kosa si ndio?
 
Mimi ndiyo maana nasema Afrika inahitaji walimu asilia wa maswala ya uchunguzi hasa polisi.

Mimi kama mwalimu binafsi kwa tukio hili ningewafundisha kuharass adui ili atumie silaha zake ziishe pamoja na kutumia mbwa kukamata adui kama huyo au teaser gun then anakamtwa kilaini bila madhara makubwa labda wangekifa askari wawili na mbwa mmoja tu na adui akasalimika ili kutupa taarifa muhimu,bas!!

Bora hata haukua mwalimu wangu, phew!
 
Situation gani? How can the entire police force fail to arrest one person?? Kwa nini wasingeomba msaada kwa makomandoo wa JWTZ?? Bado naunga mkono hoja kwamba wamepoteza fursa muhimu ya kumhoji na kujua wako wangapi!!

What do you mean wako wangapi? Have you sat and wonder [emoji189] to realize kwamba hili tukio linaonekana kwa kila namna kwamba ni self motivated na halina interest yeyote na chama cha siasa wala dini?
Hili tukio amelifanya yeye kwa maslahi yake, ndo maana baada ya kuona sasa hakuna kilichobaki kupambania akatoka nje. Alitaka kumalizika.
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua...
Nadhani kuna mambo yaliyopelekea kumuua ili kuficha ushahidi maana polisi wetu si waaminifu hata kidogo
 
Our Intel community seems to be weak and somewhat incompetent
Unless of course it's CHADEMA kongamano au CHADEMA going to church services where the intelligence is to the maximum [emoji23][emoji23]
 
Wasalaam.

Nimefatilia kwa undani tukio la mauaji ya police kule kinondoni na kubaini muuaji(hamza) hakupaswa kuuwawa kwani baada ya kuishiwa risasi alipiga magoti na kujisalimisha kwa kunyanyua mikono juu, lakini police wetu kwa kukosa weledi wakaona ndo nafasi ya kujifunzia shabaha kumlenga mtu aliejisalimisha . Hakukua na ulazima wa kumuua mtuhumiwa angekamatwa akiwa hai ingekuwa na faida kubwa.

Kwa mujibu wa mashuhuda mhalifu yule baada ya kumaliza risasi alitoka ktk kibanda alimukua awali nakwenda ktk ya barabara na kulala chini kabla ya kupiga magoti na kunyosha mikono juu kama ishara ya kusarrender. Hata ktk uwanja wa vita mtu akinyosha mikono juu hauwawi bali hukamatwa.

Laiti kama police wangekua na weledi wangemkamata mtuhumiwa kama mbuzi na kumhoji nini ilikua dhamira ya mauaji yale na kisha wangemfikisha mahakamani ahukumiwe kunyongwa. Kitendo cha kumuua mtu alijisalimisha kimepoteza ushahidi muhimu na kuleta fedhea juu ya weledi wa jeshi la police.

Mungu awarehemu marehemu wote awasamehe au kuwahukumu kwa matendo yao waliotenda duniani ameeen.
 
Back
Top Bottom