Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

WEWE MPUMBAVU SANA. UNAKIMBILIA HUKU KULETA MASIKITIKO HUYO DADA ANANYANYASWA WEWE UNAFANYA NINI? NYIE MNA AKILI KWELI? WOTE NYIE MMEHUSIKA KUMNYANYASA HUYO DADA NA HUONI AIBU KUJA KUANZISHA UZI.

MITANZANIA NI MINAFIKI NA MIPUUZI SANA. SI WANAWAKE SI WANAUME. MJAMZITO ANANYANYASWA UNAISHIA KUPIGA PICHA NA KULETA MALALAMIKO? WEWE UNA AKILI KWELI? JINSIA GANI?

1. ULISHINDWA MLIPIA NAULI HUYO MTOTO?
2. MLISHINDWA KUMJIA JUU HUYO MHUDUMU?
3. MLISHINDWA MGOMEA ?
Yaani ulivoandika utafikiri wewe sio mtanzania. Mtanzania anashindwa kusimamia haki yake ndio ataweza kujitoa kwa ajili ya haki ya mtu mwingine?
 
Watu wote hao mmeshindwa kutoa hata msaada?
Mwendokasi nao siyo usafiri salama tena.
 
Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?

Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi.

Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa analazimisha yule dada amlipie na huyo mtoto nauli, ilhali ni mtoto mdogo anayeweza kupakatwa.

Pamoja na dada kuwaambia atampakata lakini walimgomea, ndipo ikatokea kukusukumana hapa na pale mpaka ikabidi watu wote watoke kwenye mwendokasi.

Haijalishi ni nani alikuwa na kosa hapa, lakini sijapenda namna huyu dada mjamzito alivyokuwa treated, maana wamemuharrass sana mpaka dada wa watu akazimia, huku mwanaye akilia kwa uchungu.

Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu na hawajali wateja hata kama ana hali inayohitaji kusaidiwa.

Mtoto waliyekuwa wanafosi alipie👇
View attachment 2960024

Mama mjamzito akiwa ameanguka chini👇
View attachment 2960027

View attachment 2960028

Mwendokasi iliyokuwa inaenda Kivukoni👇

View attachment 2960033
Duh!
 
Miaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.

Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .

Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.

Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.

Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi WALIKUWA sahihi.
Duh! 🤔🙄
 
Na nyie mpo, hii ndo reflection ya nguvu kazi kuja kuikomboa Tanzania? Pumbavu kabisa.

1. Mlishindwa kupambana?
2. Mlishindwa kumtetea?
3. Mlishindwa kumlipia Mtoto?

Kama hamuwezagi ku act huko, hizi habari za kifala msituletee sisi wanaume tuliokamilika.

Mnashindwa kumprotect Mama mja mzito mwenye mtoto Mdogo?
Watu wa dar bhana kulalamika tu mitandaoni
 
Mimi,kuna kitu sijaelewa. Siku hizi, staff wa mwendokasi wanakuwa ndani!? Nijuavyo,ticket hutolewa kabla hata ya kuingia kwenye eneo la kusubilia gari. Huko si ndo walitakiwa wamalizane,kama mtoto analipiwa au anapewa msaada! Hiyo purukushani ya anapanda,hapandi, kwenye gari imefikafikaje huko!

Ila,binadamu pia tuwe waelewa upande mwingine. Ndo maana makonda wa daladala,japo wehu,lakini wana point. Huyo mtoto,ni mtu. Ikiulizwa gari ilikuwa na watu wangapi, na yeye anahesabika. Ikitokea ajari,familia yake itadai fidia kama amekufa,au matibabu kama kaumia. Lakini watu wengi utakuta ameobgozana na watoto,kisa nauli hawalipi. Siyo poa.

Kwenye kuzimia,hatujui ni kweli au si kweli. Lakini,mhudumu kakosa utu, na gari zima akakosekana mwenye 200? Af mtu anapiga picha tu! Anaona fahari?!
 
Miaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.

Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .

Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.

Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.

Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi WALIKUWA sahihi.
Kitu kimoja bado kinaleta utata: nauli za mwendokasi siku hizi,zinalipiwa mlangoni kwenye gari? Zinapopatikana tiketi,si ndo huko huko hili jambo lingeishia?
 
Hivi hii roho mbaya ya staff wa mwendokasi chanzo chake ni nini hasa? Kwanini wanakosa utu kabisa?!
 
Nauli anaanza lipia mtoto wa la kwanza.

Miaka 7 mtu hutakiwa kuanza la kwanza.

Miaka 5 au 6 kuanza la kwanza hii ni trend imevamiwa na wamama wa siku hizi.
Issue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.
 
Ujinga mtupu yani wote hapo mlishindwa kumlipia au kumsaidia huyo Mama Tsh 200/= sasa hao wahudumu wana hela au tiketi za bure jamani mbona kama mnataka kuwaonea tuu? Hivi kundi lote hilo hamna mwenye akili hata mmoja? Kwenye hili nawatetea hao wahudumu!
 
Kwa uelewa wako ilipaswa apande nn
Ni swali ambalo nimekuuliza. Basi alipaswa akupande wewe. Yaani nyie madogo hamfikirii kabisa. Unashangaa mjamzito kupanda Udart. Unataka apande punda au ndege? Mtu ambaye ameshindwa mlipia mtoto wake tsh 200?nyie madogo miaka hii ndo maana mnabakwa sana na kulawitiwa. Hamna akili.
 
Wengi wanamlaumu mleta mada ila angeleta habari bila picha angesakamwa sana. Binadamu hawana jema.


Ni mpumbavu mwenzako, hatuna shida na picha zake au report, ila Je alisaidia chochote? Yani kaleta habari ina ukubwa kama Bwawa la nyerere wakati solution ilikuwa mikononi mwake, Jinga
 
Back
Top Bottom