Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Na inaweza isiwe hivyo pia 😂Ipo mambo yatakaaa sawa na sisi tutaepuka hizi aibu ndogo ndogo
Tukazidi kuaibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na inaweza isiwe hivyo pia 😂Ipo mambo yatakaaa sawa na sisi tutaepuka hizi aibu ndogo ndogo
Fungu la kukosa🤣Na inaweza isiwe hivyo pia 😂
Tukazidi kuaibika
😂 maisha yana mengi sana ndio maana huwa nasema usimuone mzembe mtu ambae hajafanikiwa.Fungu la kukosa🤣
Sina kumbu kumbu nzuri hapa naona kama ni sahihi lakini naona kama ni above 4Kama sijakosea ni above 1 yr
Niliwahi kumlipia Kijana wangu, alikuwa na umri wa miaka 3
Ni above 2 nadhaniSina kumbu kumbu nzuri hapa naona kama ni sahihi lakini naona kama ni above 4
Average mtoto above 2 wa mtu mwenye mshahara wa middle class anaweza akapanda ndege kwa mwaka au miaka 2 mara moja.Ni above 2 nadhani
Hata saivi ukiingia kwenye website ya ATCL ama Precision air kufanya bookings utaona Kuna room ya age 0-2 kama infant
Sahihi MkuuAverage mtoto above 2 wa mtu mwenye mshahara wa middle class anaweza akapanda ndege kwa mwaka au miaka 2 mara moja.
Ila huyu mtoto anaweza akapanda mwendo kasi mpaka mara nne kwa mwezi.
Ni fair kwa ndege kuweka age range ya above 2 kwakua sidhani kama watakusanya pesa regularly.
Kwa mwendokasi kuna watoto wa 7 yrs kwenda juu ambao nauli yao inaweza kucompensate ya below 5 kila siku. Kwangu ni logical 5 and below kutolipa kwakua yawezekana hata hajui anaenda wapi na hapo hapo 7 and above anachangia hili gari almost kila siku ya wiki.
Kwa malalamiko haya hv kweli hiki kizazi kitakuja kukitoa chama cha ccm madarakani!?Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?
Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi.
Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa analazimisha yule dada amlipie na huyo mtoto nauli, ilhali ni mtoto mdogo anayeweza kupakatwa.
Pamoja na dada kuwaambia atampakata lakini walimgomea, ndipo ikatokea kukusukumana hapa na pale mpaka ikabidi watu wote watoke kwenye mwendokasi.
Haijalishi ni nani alikuwa na kosa hapa, lakini sijapenda namna huyu dada mjamzito alivyokuwa treated, maana wamemuharrass sana mpaka dada wa watu akazimia, huku mwanaye akilia kwa uchungu.
Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu na hawajali wateja hata kama ana hali inayohitaji kusaidiwa.
Mtoto waliyekuwa wanafosi alipie👇
View attachment 2960024
Mama mjamzito akiwa ameanguka chini👇
View attachment 2960027
View attachment 2960028
Mwendokasi iliyokuwa inaenda Kivukoni👇
View attachment 2960033
Miaka mitano Unalipia NAURI ,Nauli anaanza lipia mtoto wa la kwanza.
Miaka 7 mtu hutakiwa kuanza la kwanza.
Miaka 5 au 6 kuanza la kwanza hii ni trend imevamiwa na wamama wa siku hizi.
Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu
Nipe namba yakoMiaka mitano Unalipia NAURI ,
Halafu mie siyo mama,
Njoo nikuoe ili ujue kama ni mama au laa
Msipambanie ujinga nauli ilipwe na kilanmtu. Mtoto ni 200 tuNa nyie mpo, hii ndo reflection ya nguvu kazi kuja kuikomboa Tanzania? Pumbavu kabisa.
1. Mlishindwa kupambana?
2. Mlishindwa kumtetea?
3. Mlishindwa kumlipia Mtoto?
Kama hamuwezagi ku act huko, hizi habari za kifala msituletee sisi wanaume tuliokamilika.
Mnashindwa kumprotect Mama mja mzito mwenye mtoto Mdogo?
Watz wanapenda onewa huruma kwa mambo yao wenyeweMiaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.
Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .
Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.
Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.
Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi WALIKUWA sahihi.
Halafu bila aibu anapiga picha na kupost mpumbavu sanaNa nyie mpo, hii ndo reflection ya nguvu kazi kuja kuikomboa Tanzania? Pumbavu kabisa.
1. Mlishindwa kupambana?
2. Mlishindwa kumtetea?
3. Mlishindwa kumlipia Mtoto?
Kama hamuwezagi ku act huko, hizi habari za kifala msituletee sisi wanaume tuliokamilika.
Mnashindwa kumprotect Mama mja mzito mwenye mtoto Mdogo?
Wakatili kivipi? Kwa hiyo wao walitakiwa kumlipia nauli huyo dogo?Hapo ili kufupisha mambo alitakiwa atoke mtu amlipie
Nauli hyo mtoto,maana wakati mwingine hapo udart kuna wafanyakazi wendawazi wana eoho mbaya makatili,wpmbv kabisa
Ova
Hii siyo suluhisho la kudumu.Nilitamani kusikia kuwa, kuna mwanamme mmoja aliguswa hapo akamlipia hiyo sijui shs 700
badala ya kusubiria hadi kelele ziwe nyingi kiasi hicho na kuweza kusababisha madhara kwa mama kijacho
Miaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.
Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .
Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.
Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.
Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi ubinadamu ni kazi kwelikweli