Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

Ni swali ambalo nimekuuliza. Basi alipaswa akupande wewe. Yaani nyie madogo hamfikirii kabisa. Unashangaa mjamzito kupanda Udart. Unataka apande punda au ndege? Mtu ambaye ameshindwa mlipia mtoto wake tsh 200?nyie madogo miaka hii ndo maana mnabakwa sana na kulawitiwa. Hamna akili.
Endelea kupuyanga
 
Hamna mtu mpumbavu kama wewe uliyepiga picha badala ya kutoa 200/= kulipa nauli.

Wewe ndio sababu wanaume wengi tunaonekana hatujitambui.

Kwa hiyo umeleta huku upate sifa au umaarufu?

Hujitambui kabisa wewe
 
Shosti povu lako halimsaidii chochote huyo mjamzito. Keyboards warrior. Nyoo hujakazwa asubuh unaniletea hasira ya kukosa bao la kutokea mpuuzi kweli wewe
Ni mpumbavu mwenzako, hatuna shida na picha zake au report, ila Je alisaidia chochote? Yani kaleta habari ina ukubwa kama Bwawa la nyerere wakati solution ilikuwa mikononi mwake, Jinga
 
Hata kama maisha magumu Wazee, hata shilingi 300 ya kumlipia huyo Mtoto nauli mlishindwa kumlipia?

Kuna Siku nilimlipia nauli, Kijana mmoja aliyetakiwa kushushwa Pale Mikumi National park Kwa kuwa na nauli nusu.

Alikuwa anaelekea DSM kubahatisha kazi/vibarua.

Imagine Konda amekomaa kabisa kumshusha Hifadhini bila kujalia Usalama wa abiria wake maana pale Mikumi, Wanyama wakali ni nje nje 🙌

Wababa tuzaeni watoto ambao tutaweza kuwatunza na kuwahudumia.

Mke wako ni Mjamzito yupo na mtoto mdogo, umeshindwa hata kuwalipia Uber/bolt wasafiri Kwa uhakika?
 
Mwendokasi walikuwa sahihi kimaamuzi ila wangejaribu kumuomea huruma. Umaskini ni fedheha sana kwa kweli nimeangalia hizo picha
Wamuonee huruma halafu mje kulaumu kuwa Kuna ufisadi shirika halipati faida?
 
Ni sawa anaweza kukosa, je hao mapunguani walosimama wakimuangalia na huyu alowahi kupiga picha ili alete umbea humu alishindwa kumsaidia huyo mama?
Hapo waliosimama wote pembeni hawajitambui na wanafiki nauli ya mtoto ni 200/= tu.
Wote hawana?
Na huyu mpiga picha ndiye punguani namba moja
 
Wote mnaotukana na kulaumu hajasaidiwa nanyi ni wapumbavu tu maana hamjui stori ya upande wa 2.

Sijaja hapa kubrag tumemsaidia 1,2,3.... Tunajaribu kuonesha huduma mbovu zinazotolewa na DART.

Kwa hiyo msidhani watu walikaa tu bila kufanya lolote, mpaka mwendokasi haijaondoka hapo sio bure tu.

Pumbav waheed😡
Wewe hujitambui acha kujitetea hapo usisingizie huduma mvivu.
Huo mradi unajiendesha yanatakiwa mafuta, service na pesa za kulipa wafanyakazi we unadhani wakisema msaada watu wangapi wanahitaji kusaidiwa?

Yaani mtu kudai nauli na kuzuia mtu kusafiri bila malipo unasema huduma mbovu.

Nyinyi mlioshindwa kumlipia hiyo nauli ndio wajinga na hamjitambui
 
Mdada wa watu mpaka anazimia mnamtazama tu...

Itoshe tu kusema nimewatukana wanaume wote mliokuwa ndani ya mwendokasi.
 
WEWE MPUMBAVU SANA. UNAKIMBILIA HUKU KULETA MASIKITIKO HUYO DADA ANANYANYASWA WEWE UNAFANYA NINI? NYIE MNA AKILI KWELI? WOTE NYIE MMEHUSIKA KUMNYANYASA HUYO DADA NA HUONI AIBU KUJA KUANZISHA UZI.

MITANZANIA NI MINAFIKI NA MIPUUZI SANA. SI WANAWAKE SI WANAUME. MJAMZITO ANANYANYASWA UNAISHIA KUPIGA PICHA NA KULETA MALALAMIKO? WEWE UNA AKILI KWELI? JINSIA GANI?

1. ULISHINDWA MLIPIA NAULI HUYO MTOTO?
2. MLISHINDWA KUMJIA JUU HUYO MHUDUMU?
3. MLISHINDWA MGOMEA ?
Imejidhihiirisha kiasi gani huyu jamaa ni mpumbavu angemlipia huyo dogo yote haya yasingetokea.
Anakimbilia kuchukua umbea na kuleta huku hizi tabia hata wanawake hawana sikuhizi.
Ndio maana wanasema sikuhizi wanaume tumewazidi wanawake kwa umbea sababu ya tabia za watu kama hawa
 
Pole kwake
Siku nyingine ingilia kati hata watu wachache tu.
 
Yaani ulivoandika utafikiri wewe sio mtanzania. Mtanzania anashindwa kusimamia haki yake ndio ataweza kujitoa kwa ajili ya haki ya mtu mwingine?
Kupanda gari Bure sio haki.
Angemlipia huyo dogo hiyo miatano
 
Mimi,kuna kitu sijaelewa. Siku hizi, staff wa mwendokasi wanakuwa ndani!? Nijuavyo,ticket hutolewa kabla hata ya kuingia kwenye eneo la kusubilia gari. Huko si ndo walitakiwa wamalizane,kama mtoto analipiwa au anapewa msaada! Hiyo purukushani ya anapanda,hapandi, kwenye gari imefikafikaje huko!

Ila,binadamu pia tuwe waelewa upande mwingine. Ndo maana makonda wa daladala,japo wehu,lakini wana point. Huyo mtoto,ni mtu. Ikiulizwa gari ilikuwa na watu wangapi, na yeye anahesabika. Ikitokea ajari,familia yake itadai fidia kama amekufa,au matibabu kama kaumia. Lakini watu wengi utakuta ameobgozana na watoto,kisa nauli hawalipi. Siyo poa.

Kwenye kuzimia,hatujui ni kweli au si kweli. Lakini,mhudumu kakosa utu, na gari zima akakosekana mwenye 200? Af mtu anapiga picha tu! Anaona fahari?!
Hii nchi wajinga ni wengi badala ya kumlipia mtoto nauli kaenda kupiga picha.
Zaidi ya kuwadhalilisha unadhani Ina msaada gani?
Mleta maada zaidi ya umbea hana utu ni bora angekaa kimya tu
 
Issue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.
Naunga mkono hoja
 
Hapo ili kufupisha mambo alitakiwa atoke mtu amlipie
Nauli hyo mtoto,maana wakati mwingine hapo udart kuna wafanyakazi wendawazi wana eoho mbaya makatili,wpmbv kabisa

Ova
 
Baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana! Badala ya kuchukua hatua unapiga picha, ili iweje? Huyo konda wa mwendokasi amewashinda nini midume mizima?

Pumbavu mpiga picha!
duuuh konda wa mwendokasi tena au hii ni mwendokasi za mikoani?
 
Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?

Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi.

Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa analazimisha yule dada amlipie na huyo mtoto nauli, ilhali ni mtoto mdogo anayeweza kupakatwa.

Pamoja na dada kuwaambia atampakata lakini walimgomea, ndipo ikatokea kukusukumana hapa na pale mpaka ikabidi watu wote watoke kwenye mwendokasi.

Haijalishi ni nani alikuwa na kosa hapa, lakini sijapenda namna huyu dada mjamzito alivyokuwa treated, maana wamemuharrass sana mpaka dada wa watu akazimia, huku mwanaye akilia kwa uchungu.

Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu na hawajali wateja hata kama ana hali inayohitaji kusaidiwa.

Mtoto waliyekuwa wanafosi alipie👇
View attachment 2960024

Mama mjamzito akiwa ameanguka chini👇
View attachment 2960027

View attachment 2960028

Mwendokasi iliyokuwa inaenda Kivukoni👇

View attachment 2960033
Nchi ipo mikononi mwa wanyama wasio na utu.

Roho hiyo imeambukiza hadi watendaji huku chini.

Siku kikilipuka ndo watagundua uzito wa neno TOO LATE
 
Imejidhihiirisha kiasi gani huyu jamaa ni mpumbavu angemlipia huyo dogo yote haya yasingetokea.
Anakimbilia kuchukua umbea na kuleta huku hizi tabia hata wanawake hawana sikuhizi.
Ndio maana wanasema sikuhizi wanaume tumewazidi wanawake kwa umbea sababu ya tabia za watu kama hawa
Amenishangaza sana huyu dogo. Alidhani tutamsifia kwa kukimbilia kupost huku. Angeonesha ana akili kama angemlipia huyo dogo na kumwepusha huyo dada ma fadhaa. Kisha angetoa taarifa. Kama hana pesa angalau angekuja hapa kupost akielezea jinsi ambavyo amemtia vibao huyo mhudumu wa udart kwa huo ujinga aliofanya
 
Issue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.
Kwenye ndege mtoto wa kuanzia umri gani analipia nauli?
 
Back
Top Bottom