Yaani ulivoandika utafikiri wewe sio mtanzania. Mtanzania anashindwa kusimamia haki yake ndio ataweza kujitoa kwa ajili ya haki ya mtu mwingine?WEWE MPUMBAVU SANA. UNAKIMBILIA HUKU KULETA MASIKITIKO HUYO DADA ANANYANYASWA WEWE UNAFANYA NINI? NYIE MNA AKILI KWELI? WOTE NYIE MMEHUSIKA KUMNYANYASA HUYO DADA NA HUONI AIBU KUJA KUANZISHA UZI.
MITANZANIA NI MINAFIKI NA MIPUUZI SANA. SI WANAWAKE SI WANAUME. MJAMZITO ANANYANYASWA UNAISHIA KUPIGA PICHA NA KULETA MALALAMIKO? WEWE UNA AKILI KWELI? JINSIA GANI?
1. ULISHINDWA MLIPIA NAULI HUYO MTOTO?
2. MLISHINDWA KUMJIA JUU HUYO MHUDUMU?
3. MLISHINDWA MGOMEA ?
Sana yani mkuu hapo angepanda hata bajaji ingekuwa afadhali.Ila Kuna mda umaskini unatudhalilisha
Duh!Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?
Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi.
Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa analazimisha yule dada amlipie na huyo mtoto nauli, ilhali ni mtoto mdogo anayeweza kupakatwa.
Pamoja na dada kuwaambia atampakata lakini walimgomea, ndipo ikatokea kukusukumana hapa na pale mpaka ikabidi watu wote watoke kwenye mwendokasi.
Haijalishi ni nani alikuwa na kosa hapa, lakini sijapenda namna huyu dada mjamzito alivyokuwa treated, maana wamemuharrass sana mpaka dada wa watu akazimia, huku mwanaye akilia kwa uchungu.
Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu na hawajali wateja hata kama ana hali inayohitaji kusaidiwa.
Mtoto waliyekuwa wanafosi alipie👇
View attachment 2960024
Mama mjamzito akiwa ameanguka chini👇
View attachment 2960027
View attachment 2960028
Mwendokasi iliyokuwa inaenda Kivukoni👇
View attachment 2960033
Duh! 🤔🙄Miaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.
Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .
Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.
Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.
Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi WALIKUWA sahihi.
Watu wa dar bhana kulalamika tu mitandaoniNa nyie mpo, hii ndo reflection ya nguvu kazi kuja kuikomboa Tanzania? Pumbavu kabisa.
1. Mlishindwa kupambana?
2. Mlishindwa kumtetea?
3. Mlishindwa kumlipia Mtoto?
Kama hamuwezagi ku act huko, hizi habari za kifala msituletee sisi wanaume tuliokamilika.
Mnashindwa kumprotect Mama mja mzito mwenye mtoto Mdogo?
Kitu kimoja bado kinaleta utata: nauli za mwendokasi siku hizi,zinalipiwa mlangoni kwenye gari? Zinapopatikana tiketi,si ndo huko huko hili jambo lingeishia?Miaka mitano ni darasa la kwanza huyo hivyo anapaswa alipie mia mbili.
Kumpakata na kumlipia NAURI havihusiani kabisa kwani Kila mtu anaweza kumpakata mtoto wake hata kama anamiaka saba au 14 .
Mjamzito atii Sheria bila shurti.Kuwa mjamzito asijifiche kwenye uhalifu WA kutolipia NAURI kisa mjamzito eti aonewe huruma HAPANA.
Bora angeomba asaidiwe tu kuwa Hana NAURI anaomba msaada Kwa mwanae.Hapo angesaidiwa lakini pesa unayo unaleta ujuaji WA Sheria ni kujitakia matatizo kama hayo.
Kwa hapo siwalaumu wahudumu WA mwendokasi WALIKUWA sahihi.
Ipo mambo yatakaaa sawa na sisi tutaepuka hizi aibu ndogo ndogoSana yani mkuu hapo angepanda hata bajaji ingekuwa afadhali.
Kwa uelewa wako ilipaswa apande nnUlitaka apande nini?
Issue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.Nauli anaanza lipia mtoto wa la kwanza.
Miaka 7 mtu hutakiwa kuanza la kwanza.
Miaka 5 au 6 kuanza la kwanza hii ni trend imevamiwa na wamama wa siku hizi.
Muhudumu hana kosa lolote hapo!Nauli ya mtoto ni roughly jero, mngemsitiri mjamzito na kumpuuza huyo mhudumu
Ni swali ambalo nimekuuliza. Basi alipaswa akupande wewe. Yaani nyie madogo hamfikirii kabisa. Unashangaa mjamzito kupanda Udart. Unataka apande punda au ndege? Mtu ambaye ameshindwa mlipia mtoto wake tsh 200?nyie madogo miaka hii ndo maana mnabakwa sana na kulawitiwa. Hamna akili.Kwa uelewa wako ilipaswa apande nn
Wengi wanamlaumu mleta mada ila angeleta habari bila picha angesakamwa sana. Binadamu hawana jema.