Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Endelea kupuyangaNi swali ambalo nimekuuliza. Basi alipaswa akupande wewe. Yaani nyie madogo hamfikirii kabisa. Unashangaa mjamzito kupanda Udart. Unataka apande punda au ndege? Mtu ambaye ameshindwa mlipia mtoto wake tsh 200?nyie madogo miaka hii ndo maana mnabakwa sana na kulawitiwa. Hamna akili.
Ni mpumbavu mwenzako, hatuna shida na picha zake au report, ila Je alisaidia chochote? Yani kaleta habari ina ukubwa kama Bwawa la nyerere wakati solution ilikuwa mikononi mwake, Jinga
Wamuonee huruma halafu mje kulaumu kuwa Kuna ufisadi shirika halipati faida?Mwendokasi walikuwa sahihi kimaamuzi ila wangejaribu kumuomea huruma. Umaskini ni fedheha sana kwa kweli nimeangalia hizo picha
Hapo waliosimama wote pembeni hawajitambui na wanafiki nauli ya mtoto ni 200/= tu.Ni sawa anaweza kukosa, je hao mapunguani walosimama wakimuangalia na huyu alowahi kupiga picha ili alete umbea humu alishindwa kumsaidia huyo mama?
Wewe hujitambui acha kujitetea hapo usisingizie huduma mvivu.Wote mnaotukana na kulaumu hajasaidiwa nanyi ni wapumbavu tu maana hamjui stori ya upande wa 2.
Sijaja hapa kubrag tumemsaidia 1,2,3.... Tunajaribu kuonesha huduma mbovu zinazotolewa na DART.
Kwa hiyo msidhani watu walikaa tu bila kufanya lolote, mpaka mwendokasi haijaondoka hapo sio bure tu.
Pumbav waheed😡
NaamMuhudumu hana kosa lolote hapo!
Imejidhihiirisha kiasi gani huyu jamaa ni mpumbavu angemlipia huyo dogo yote haya yasingetokea.WEWE MPUMBAVU SANA. UNAKIMBILIA HUKU KULETA MASIKITIKO HUYO DADA ANANYANYASWA WEWE UNAFANYA NINI? NYIE MNA AKILI KWELI? WOTE NYIE MMEHUSIKA KUMNYANYASA HUYO DADA NA HUONI AIBU KUJA KUANZISHA UZI.
MITANZANIA NI MINAFIKI NA MIPUUZI SANA. SI WANAWAKE SI WANAUME. MJAMZITO ANANYANYASWA UNAISHIA KUPIGA PICHA NA KULETA MALALAMIKO? WEWE UNA AKILI KWELI? JINSIA GANI?
1. ULISHINDWA MLIPIA NAULI HUYO MTOTO?
2. MLISHINDWA KUMJIA JUU HUYO MHUDUMU?
3. MLISHINDWA MGOMEA ?
Kupanda gari Bure sio haki.Yaani ulivoandika utafikiri wewe sio mtanzania. Mtanzania anashindwa kusimamia haki yake ndio ataweza kujitoa kwa ajili ya haki ya mtu mwingine?
Hii nchi wajinga ni wengi badala ya kumlipia mtoto nauli kaenda kupiga picha.Mimi,kuna kitu sijaelewa. Siku hizi, staff wa mwendokasi wanakuwa ndani!? Nijuavyo,ticket hutolewa kabla hata ya kuingia kwenye eneo la kusubilia gari. Huko si ndo walitakiwa wamalizane,kama mtoto analipiwa au anapewa msaada! Hiyo purukushani ya anapanda,hapandi, kwenye gari imefikafikaje huko!
Ila,binadamu pia tuwe waelewa upande mwingine. Ndo maana makonda wa daladala,japo wehu,lakini wana point. Huyo mtoto,ni mtu. Ikiulizwa gari ilikuwa na watu wangapi, na yeye anahesabika. Ikitokea ajari,familia yake itadai fidia kama amekufa,au matibabu kama kaumia. Lakini watu wengi utakuta ameobgozana na watoto,kisa nauli hawalipi. Siyo poa.
Kwenye kuzimia,hatujui ni kweli au si kweli. Lakini,mhudumu kakosa utu, na gari zima akakosekana mwenye 200? Af mtu anapiga picha tu! Anaona fahari?!
Naunga mkono hojaIssue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.
duuuh konda wa mwendokasi tena au hii ni mwendokasi za mikoani?Baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana! Badala ya kuchukua hatua unapiga picha, ili iweje? Huyo konda wa mwendokasi amewashinda nini midume mizima?
Pumbavu mpiga picha!
Nchi ipo mikononi mwa wanyama wasio na utu.Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?
Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi.
Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa analazimisha yule dada amlipie na huyo mtoto nauli, ilhali ni mtoto mdogo anayeweza kupakatwa.
Pamoja na dada kuwaambia atampakata lakini walimgomea, ndipo ikatokea kukusukumana hapa na pale mpaka ikabidi watu wote watoke kwenye mwendokasi.
Haijalishi ni nani alikuwa na kosa hapa, lakini sijapenda namna huyu dada mjamzito alivyokuwa treated, maana wamemuharrass sana mpaka dada wa watu akazimia, huku mwanaye akilia kwa uchungu.
Hili shirika japo ni la umma, lakini staffs wake wana zero customer care, hawana utu na hawajali wateja hata kama ana hali inayohitaji kusaidiwa.
Mtoto waliyekuwa wanafosi alipie👇
View attachment 2960024
Mama mjamzito akiwa ameanguka chini👇
View attachment 2960027
View attachment 2960028
Mwendokasi iliyokuwa inaenda Kivukoni👇
View attachment 2960033
Amenishangaza sana huyu dogo. Alidhani tutamsifia kwa kukimbilia kupost huku. Angeonesha ana akili kama angemlipia huyo dogo na kumwepusha huyo dada ma fadhaa. Kisha angetoa taarifa. Kama hana pesa angalau angekuja hapa kupost akielezea jinsi ambavyo amemtia vibao huyo mhudumu wa udart kwa huo ujinga aliofanyaImejidhihiirisha kiasi gani huyu jamaa ni mpumbavu angemlipia huyo dogo yote haya yasingetokea.
Anakimbilia kuchukua umbea na kuleta huku hizi tabia hata wanawake hawana sikuhizi.
Ndio maana wanasema sikuhizi wanaume tumewazidi wanawake kwa umbea sababu ya tabia za watu kama hawa
Kwenye ndege mtoto wa kuanzia umri gani analipia nauli?Issue si umri,mtoto yeyote ni mtu. Mtoto anaetembea,anatakiwa alipe. Mwenye gari akipotezea,poa. Ila akichachamaa,ana hahi. Kuna nchi moja jirani,japo hawana namna wanapakiza,piki piki inabeba tu watu wawili,na bima yake ni watu 2. Sasa,tatizo linakujaga kwa wamama wenye watoto mgongoni. Ukimbeba,hilo ni kosa. Kwenye ajari,zinakuwepo,mahakamani bima haisimamii. Hapo nani mwenye kosa? Japo ni mtoto wa miezi! Mwendokasi nako au daladala,mtoto huyo anaongeza uzito na ulaji wa mafuta. Chochote lazima achangie sasa.
Kama sijakosea ni above 1 yrKwenye ndege mtoto wa kuanzia umri gani analipia nauli?