Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

Kuna dada mmoja nilizunguana naye kwenye kituo cha mwendokasi baada ya kunijibu jeuri.
 
Sina kumbu kumbu nzuri hapa naona kama ni sahihi lakini naona kama ni above 4
Ni above 2 nadhani

Hata saivi ukiingia kwenye website ya ATCL ama Precision air kufanya bookings utaona Kuna room ya age 0-2 kama infant
 
Wanaume wa dar wanakua wapi mpaka mama mjamzito wanamuharras kiasi hicho hata kama sio mkeo.

Je, sisi wanaume wa mikoani tukisema dar hakuna wanaume situtakua sahihi sana?
 
Ni above 2 nadhani

Hata saivi ukiingia kwenye website ya ATCL ama Precision air kufanya bookings utaona Kuna room ya age 0-2 kama infant
Average mtoto above 2 wa mtu mwenye mshahara wa middle class anaweza akapanda ndege kwa mwaka au miaka 2 mara moja.

Ila huyu mtoto anaweza akapanda mwendo kasi mpaka mara nne kwa mwezi.

Ni fair kwa ndege kuweka age range ya above 2 kwakua sidhani kama watakusanya pesa regularly.

Kwa mwendokasi kuna watoto wa 7 yrs kwenda juu ambao nauli yao inaweza kucompensate ya below 5 kila siku. Kwangu ni logical 5 and below kutolipa kwakua yawezekana hata hajui anaenda wapi na hapo hapo 7 and above anachangia hili gari almost kila siku ya wiki.
 
Sahihi Mkuu

Hata kwenye mabasi ya Mikoani, mtoto mdogo halipishwi nauli hadi umkatie seat ya peke yake ndiyo atalipa nauli

Wakati mwingine busara zituongoze kwenye kufanya maamuzi.

Shirika lenyewe Kila Mwaka wanaripoti hasara tu

Halijawahi kuleta faida na wenzao ATCL/TTCL n.k
 
Maskini hana kiapo.

Ila ilikuwa ni vema na haki mpiga picha ungelipa tu hata 10k. Na wala usitake chenchi kuondoa hizo purukushani.

Naimani dogo akiwa mkubwa akawa raisi atachukia sana umaskini.
 
Kwa malalamiko haya hv kweli hiki kizazi kitakuja kukitoa chama cha ccm madarakani!?
Kupitia sanduku la kura

Kutwa kulalama no action
 
Nauli anaanza lipia mtoto wa la kwanza.

Miaka 7 mtu hutakiwa kuanza la kwanza.

Miaka 5 au 6 kuanza la kwanza hii ni trend imevamiwa na wamama wa siku hizi.
Miaka mitano Unalipia NAURI ,

Halafu mie siyo mama,

Njoo nikuoe ili ujue kama ni mama au laa
 
Msipambanie ujinga nauli ilipwe na kilanmtu. Mtoto ni 200 tu
 
Watz wanapenda onewa huruma kwa mambo yao wenyewe
 
Halafu bila aibu anapiga picha na kupost mpumbavu sana
 
Hapo ili kufupisha mambo alitakiwa atoke mtu amlipie
Nauli hyo mtoto,maana wakati mwingine hapo udart kuna wafanyakazi wendawazi wana eoho mbaya makatili,wpmbv kabisa

Ova
Wakatili kivipi? Kwa hiyo wao walitakiwa kumlipia nauli huyo dogo?
 
Nilitamani kusikia kuwa, kuna mwanamme mmoja aliguswa hapo akamlipia hiyo sijui shs 700
badala ya kusubiria hadi kelele ziwe nyingi kiasi hicho na kuweza kusababisha madhara kwa mama kijacho
Hii siyo suluhisho la kudumu.
Kulipia nauli muhimu.
Kumsukuma mjamzito ni kosa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…