Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Pole mkuu
 
Kuna mke wa mtu mmoja kadungwa mimba mtoto anatembea SAsa mme wake wa ndoa kagundua kala kona mchepuko ambae nae ni mme wa mtu nae kala kona kakosa vyote,
 
Tamaa ya pesa na Umalaya unatofautisha vipi na Umalaya tafsiri yake ikoje na pesa inajitenga vipi katika muktadha wa umalaya
Tamaa ya pesa umalaya ni ndugu, pepo wa ngono ndo tafsiri sahihi.
 
Duuh, wasamehe Mkuu
 
Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana

2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka

3: wakataa ndoa

Nipo chini ya mti nakula upepo

[emoji28][emoji28] nkajua na leo utavaa uhusika wa hawa wa3[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…