🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tatizo ni kwamba wanawake wenye msimamo wa hivyo mmebaki wawili tu duniani.
Mmoja aligunduliwa visiwa vya Hawaii na amefariki mwaka jana kwa Corona na hata wewe utakuwa ushakufa hauko kwenye hii dunia.
Wee matumizi mazuri ni yepi tena hayoHuo ni ufuska na matumizi mabaya ya mwili
Sijaonyesha kujitukuza ila kuonyesha urahisi wa wake za watu kuchepuka. Kifupi nimekemeaHukutakiwa kutuonyesha mkuu.Ndicho kinachotushangaza kuwa umenuia kujitukuza
Acha wivu
Haya sawa,ila kumbuka uliyechat nae alikuamini....hukupaswa kuscreenshot your conservationsSijaonyesha kujitukuza ila kuonyesha urahisi wa wake za watu kuchepuka. Kifupi nimekemea
SawaHaya sawa,ila kumbuka uliyechat nae alikuamini....hukupaswa kuscreenshot your conservations
Mambo mengine ni kujiendekeza na kutojua thamani yao, imagine walikuwa pamoja wamefanya ya kufanya lakini walishindwana, sasa amepatikana mwanaume wa kunifanya mke, wa kuheshimisha wazazi wangu pamoja na mimi katika jamii, bado nipate hisia kwa mtu mwingine! Zinatoka wapi?Daaah kwa ndoa za siku hizi zilivyo pasua kichwa, hakika ndugu yetu ni mmoja wa waliobahatika kukupata wewe, unajielewa sana kongole kwako.
Mkuu hauna hata mdogo wako alie single, ha ha ha ha!!
Watu bhana , halafu Mwanaume unakuwa unaanika mambo ya private hadharani kweli Wanaume tunaisha yaani.Haya sawa,ila kumbuka uliyechat nae alikuamini....hukupaswa kuscreenshot your conservations
Wanawake tu sometimes hatujui thamani zetu, hata juzi kati hapa nashangaa li ex langu limoja tena sio ex tu alinichumbia kabisa akatoa kishika uchumba, wazee wakaja home wakapanga mahari, nikaja gundua anacheat tena wanaishi na mwanamke pika pakua mi sjui maana tulikuwa tukiishi mbali mbali nlikuwa nkienda kumtembelea nlivogundua nikamuacha hapo hapo na Pete yake tupa kuleee eti juzi ananitext sjui nimekumiss, mara mama anakuulizia. Messages kama hizo za ma ex sjawahi na stawahi kuzijibu hadi nakufaHII NDIO COMMENT INAYOELEWEKA AISEEE
HONGERA DADA... SIO KUWA NAKUFOKEA ...ILA NAPAYUKAA ILI WENGINE WASIKIEE
Kama ni Mwanamume na sio Mtoto wa Kiume huwezi ukafanya jambo kama hili, huu Mtandao unasomwa na watu wengi sana na inawezekana huyu uliyetuma hii sceenshot akawa ameiona. Halafu mbona haya mambo ni ya kawaida sana au ndio kutafuta cheap popularity humu JF huku ukimwaibisha uliyekuwa unachat naye?Umenisikitisha sana ManView attachment 2531714
Wanawake kwenye ndoa mtulie jamani. Msishandane na sisi. Ona huyo mpuuzi hapo juu,nimempa hi tu anataka kukumbushia. Kaniudhi sana
Kula vizuri, fanya mazoezi pumzisha mwili wako, fanya mapenzi kwa hisia, mahaba, kwa kuenjoy, kwa kupata utammmm awwwweeee kwa kumpenda mtu mmoja sio kuupa mwili shuruba utafikiri umepewa adhabuWee matumizi mazuri ni yepi tena hayo
Huenda hii account iko hacked, huyu jamaa siku hizi anaaandika Pumba sana....kama ni yeye basi amekua mtu wa hovyo mnooo..Kama ni Mwanamume na sio Mtoto wa Kiume huwezi ukafanya jambo kama hili, huu Mtandao unasomwa na watu wengi sana na inawezekana huyu uliyetuma hii sceenshot akawa ameiona. Halafu mbona haya mambo ni ya kawaida sana au ndio kutafuta cheap popularity humu JF huku ukimwaibisha uliyekuwa unachat naye?Umenisikitisha sana Man
Mwanamke malayer ni malayer tu , wapo wengine wanawatega wanaume kabisa ili wawakung'uteIssue hata sio kulazimishwa,manzi mwenyewe anajua ni mke wa mtu.chattings za kipumbavu hivyo tena na ex wake anaendekeza za nini?
Acha atiwe tu
Man najua nilichofanya. Mimi ni popular tayari nitafute popularity ya nini tena. Kukemea wake za watu kulia naona imewauma wengiKama ni Mwanamume na sio Mtoto wa Kiume huwezi ukafanya jambo kama hili, huu Mtandao unasomwa na watu wengi sana na inawezekana huyu uliyetuma hii sceenshot akawa ameiona. Halafu mbona haya mambo ni ya kawaida sana au ndio kutafuta cheap popularity humu JF huku ukimwaibisha uliyekuwa unachat naye?Umenisikitisha sana Man