Huyo mke alikua anaogopa ndugu wa mwanaume watamnyanyasa kupitia hizo mali na nyumba, ndio akaamua abadilishe hati zisome jina lake na watoto pekee.Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?
Akisismama Kibatala ni uhakikaView attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.
Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.
Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
Siyo kweli, unaanza vipi kumnyanyasa mjane, University graduate, amezaa watoto watatu na kiwanja pia ni chake hata kisingekuwa chake hapo Mirathi ya mume ni ya mke na watoto wake.Huyo mke alikua anaogopa ndugu wa mwanaume watamnyanyasa kupitia hizo mali na nyumba, ndio akaamua abadilishe hati zisome jina lake na watoto pekee.
Kifo na mwanaume ni NDUGUHuyo mwanaume hana cha kupoteza, kwa kuwa anasubiri kifo tu kutokana na maradhi yake, hivyo akaona bora wakose wote yeye na mkewe.
Sasa sijui ya huko ndani, tunapokea tunachosikia.Siyo kweli, unaanza vipi kumnyanyasa mjane, University graduate, amezaa watoto watatu na kieanja pia ni chake hata kisingekuwa chake hqpo Mirathi ya mume ni ya mke na watoto wake.
Kwa nini mnadanganywa kizembe hivi?
Unapopokea habari use your common sense filter unachoambiwa, kuna uongo unaweza kuubaini bila hata kuujuwa ukweli.Sasa sijui ya huko ndani, tunapokea tunachosikia.
Ukweli wanaujua wenyewe wahusika.
Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yakeInasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Ni kweli nakumbuka yule alimkatakata mke wake na kuchoma moto kwa mkaa mwili wake.
Je hii hasira inatoka wapi?
Hasira ya kinyama, ni kusalitiwa ?
Ni kuibiwa?
Ni mke kumzidi kete mume?
Huu unyama hauna maelezo.
Wakati mwingine uhalisia wa jambo huwezi kuuficha, limetokea liwe funzo kwa jamii!
Hivi hizi shule mlikwenda kufanya nini? Mume anapofariki Mirathi yake ni ya mke na watoto wake.Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yake
Duuh mambo ya ndoa asee , sasa Ma mpenzi yeye kuvumilia alishindwa nini ? Au alihisi akifariki ndugu watakuja kumtoa humo ndani , yeye ni mke halali wa ndoa na uthibitisho wa watoto wanne hao ndo wangekua kinga yake wakati akipigania mirathi yake !!Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Mpira unarudi kati, anaitwa Jane Urasa ni ngumu kumtetea mwanamke wa Kimachame ingawa wapo wenye roho nzuri na hofu ya Mungu.Duuh mambo ya ndoa asee , sasa Ma mpenzi yeye kuvumilia alishindwa nini ? Au alihisi akifariki ndugu watakuja kumtoa humo ndani , yeye ni mke halali wa ndoa na uthibitisho wa watoto wanne hao ndo wangekua kinga yake wakati akipigania mirathi yake !!
Yaan concept ya mtu anaumwa huyu awaze kubadilisha majina ya umiliki badala wafocus na ugonjwa haiingii akilini !Mpira unarudi kati, anaitwa Jane Urasa ni ngumu kumtetea mwanamke wa Kimachame ingawa wapo wenye roho nzuri na hofu ya Mungu.
Mambo ya 29moView attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Hapo kuna jambo limejificha?Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?
Hapo kuna jambo limejificha?Yaan concept ya mtu anaumwa huyu awaze kubadilisha majina ya umiliki badala wafocus na ugonjwa haiingii akilini !
Kama wangekua na maelewano mazuri before mume anawajua familia yake vizuri wangekaa wakayajenga !
Kuna story bado inafichwa !
Sijui umeandika nini hata sijakuelewaHivi hizi shule mlikwenda kufanya nini? Mume anapofariki Mirathi yake ni ya mke na watoto wake.
Kama hamjui sheria inawapendelea wanawake ukifa mpaka Mama yako anapata urithi wako.
Ni lini ulisikia mwanaume anagombea urithi wa marehemu mke wake? Au mnadhani Wanawake hawafi na hawaachi mali?
Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Majibu ya haya maswali wanayo wahusika wenyewe.Hapo kuna jambo limejificha?
1. Swali la kwanza hiyo cancer ilipatikanaje. Kuna makabila fulani yana uwezo wa kutengeneza magonjwa taratibu kwa waume zao ili watangulie?
2. Je hao watoto ni wake? Isije ikawa mgogoro umejificha hapo?
3. Kwani majina ya mme na watoto yangebaki kwenye hati mke asingeweza kurithi hiyo nyumba?
Ndio mawazo ya mke, kuwa ndugu wa mume watakuja kumfurusha humo ndani na kumpora mali zote za mumewe.Duuh mambo ya ndoa asee , sasa Ma mpenzi yeye kuvumilia alishindwa nini ? Au alihisi akifariki ndugu watakuja kumtoa humo ndani , yeye ni mke halali wa ndoa na uthibitisho wa watoto wanne hao ndo wangekua kinga yake wakati akipigania mirathi yake !!
Unataka kumrudisha ???View attachment 3684108