Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Wengi huwa tunaangalia matokeo tu; hatuangalii ule mchakato ulioleta hayo matokeo.
Pesa inaweza kwenda kwa mtu yeyote yule, ni sawa na mtoto wa miaka 5 aokote begi la hela la bilioni 10; matokeo yake tutakuwa tunasifu mtoto mdogo ana hela nyingi n.k
Mleta mada, unatakiwa utueleze, alivyoanza kudunduliza mpaka akapata hizo hela na hatimaye kufanya hivyo vitu; hapo mada ingekuwa imekamilika vizuri.​
 
Mimi nimeleta mada kwa mshangao, hela katoa wapi kwa umri ule? Sijui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…