Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Ha kumuuliza kwasababu ni kipindi cha ujenzi sio personal stuff
 
Nimebahatika kuona hiko kipindi juzi, kama sikosei, ingawa ilikuwa mwishoni. Mmh, kale kadada acha kabisa; ile nyumba yake ina choo cha milioni 25 na tiles za kisasa kabisa.....the latest. Kama unavyosema, anazo tatu. Yupo kwenye late 20s na ule mtaa wao, wa Goba, anasema wapo vijana tu wanaoangusha majumba maeneo hayo!

Jamani, hz hela wenzetu wanazipataje na umri mdogo kama ule?!!!!!!!!! Mbona wengine tupo 40+ ndiyo kwana una tofali 23 kiwanjani kwako?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…