Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Captain ataenda kupiga nae picha ili kelele ziisheee....ujinga wetu uwe waziii
 
Kuanzia Leo naanza kuwaogopa mpaka maboda boda🀣🀣
 
Kwa hili tunakosea sana sababu watu Hawa ni muhimu sana Tena Sana kwa taifa letu. Baada ya pale kwenye madafu Basi. Wasingemuweka kwenye maonyesho haya na mpaka anahutubia sidhani Kama ni sawa maana watu walishamuona kwenye madafu na magazetini aliandikwa na picha na mahojiano. Kiusalama na kwa usiri wa idara yetu ya ujasusi angeishia pale tu kwenye madafu. Ili aendelee kutumikia idara bila kujulikana.
 
Toka siku ya kwanza mbona ilikuwa wazi hii, rais ajiachie vile na wauza madafu? Au muuza madafu asogelee ikulu pale, sio rahisi.
 
Umemsahau wa mapapai yule alimuuzia na yeye πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…