Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu wawili tofauti kabisa. Na hapa chini ndio vitu nilivyotizama kwa ukaribu na kuonesha siyo mtu mmoja.

Cha kwanza ni pua zao ukitizama kwa ukaribu na kwa umakini unaona kabisa pua zao zinatofautiana na wala hazifanani hata kidogo.angalia upana na urefu wa pua zao,angalia muonekano na muundo wa pua zao kutoka chini ya macho mpaka eneo zinapotanukia na ukaaji wa matundu yote mawili ya pua kwa kila mmoja.

Pili ni mdomo tizama midomo yao ilivyo kwa ukaribu, tizama ukaaji wa lipsi zao katika picha ambazo ziliwachukua wakiwa wamefumba midomo tizama mkao wa midomo yao kutoka eneo la chini kidogo ya pua kushuka chini.

Tatu ni muonekano wa sura kuanzia mashavu,paji la nyuso zao wote wawili, ukubwa wa macho yao na ukaaji wa macho ikiwa ni pamoja na muonekano wake katika kuingia ndani.na namna wanavyoonekana katika picha zilizowachukuwa wakiwa wamefumba midomo.

Haya kwa uchache tu ukiyaangalia unagundua kuwa watu hawa ni watu wawili tofauti kabisa.na siyo kweli kwamba ni mtu mmoja.

Picha nazileta muda siyo mrefu.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
 
Mnahangaika mno kujitetea, kubalini kuchutama ili msirudie makosa.... basi tukikubali kuwa sio yeye utafurahi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Mna sanaa za kivita sana, vita ya nnya. Tuambiwe madafu anauzia wapi? Kesho jumapili wapigwe picha wakiwa wote
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu wawili tofauti kabisa. Na hapa chini ndio vitu nilivyotizama kwa ukaribu na kuonesha siyo mtu mmoja.

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Nam namfahamu vyema yule dogo wa mdafu

Unayoyaona mitandaoni Tambua vijana wengi wa nchi hii wanapenda uzushi , umbea

I wish nipewe hii nchi week 2 tu walime kwa meno
 
Kwani akiwa ni Yule Yule muuza madafu wa ikulu kuna Shida gani??
 
Hata kama akiwa sio yeye, ila mie bado siamini, kama wale ni wauza madafu wa kawaida, 😂🤣
Wale ni vitengo tu.
Nakumbuka jiwe, kwenye kikao cha kahawa, sijui wapi, kuna rasta mmoja alikuwa akionekana kama raia wa kawaida, sasa unajiuliza inakuwaje huyu rasta alipo jiwe nae yupo 😂🤣
 
Mnahangaika mno kujitetea, kubalini kuchutama ili msirudie makosa.... basi tukikubali kuwa sio yeye utafurahi?
Ni watu wawili tofauti kabisa. Nimefanya uchunguzi wa kina kwa kuwachunguza wote wawili nyuso zao na kila kitu kuanzia macho,pua,midomo na muonekano kwa ujumla wake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu wawili tofauti kabisa. Na hapa chini ndio vitu nilivyotizama kwa ukaribu na kuonesha siyo mtu mmoja.

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Wewe nae kama lijinga utadhani humu ndani ccm ni peke yako..
Aliyekwambia ukiwa ccm lazima useme uongo ni nani..?

Acha kudhalilisha chama kwani ikiwa imejulikana kuwa ni yeye au siyo yeye inaathiri sipi za ziada kwa serikali na mifumo yake ya ulinzi.

Mwanume gani unakuwa na shobo za hovyohovyo hivi.
 
Hoja hupingwa kwa hoja na siyo kuleta maneno ya kwenye kanga hapa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi wake katika kuingia ndani.na namna wanavyoonekana katika picha zilizowachukuwa wakiwa wamefumba midomo.

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Bhasi me naomba Wawekwe Pamoja Kesho wote washikane mikono...

Na waite waandishi wa Habari hapo utata utakwisha Maana wanafanana mpaka sauti
 
Back
Top Bottom