Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma).
Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi.
Mwanamke aliishi kwa Vibarua vya Shambani na wanae... akajikaza akalima akapata, akaendelea kusomesha wanaye.
Baada ya miaka 5 mume amerudi anaomba asamehewe waendelee na maisha!
Wakuu nini cha kufanya kwa huyu mwanamke?
Elewa mtoto wa mwisho yaani wa 5. Alikuwa na umri wa miez 9.wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3)
Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita,
Kwakweli anahitaji msaada zaidi wa kimaamuziEeeeeeh jibu analo yeye
Alikuwa au ana miezi?Elewa mtoto wa mwisho yaani wa 5. Alikuwa na umri wa miez 9.
Wa pili kutoka mwisho: maanisha wa 4 alikuwa na miaka 3.
DuhDunia mapito
Unaweza sema umshauri aachane nae lakini yeye anawaza kurudiana nae, ajipe muda wa kufikili zaidKwakweli anahitaji msaada zaidi wa kimaamuzi
Wakat anaondoka mtoto alikua na miez 9wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3)
Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita,
Inaonekana hapa msemaji wa familia,anaona asilimia zake anaenda kurudishiwa.Yeye mwanamke ndio mwamuzi wa mwisho huwez jua alikuwa anakunwaje au ulijimilikisha Jimbo baada ya jamaa kuondoka?
Watu wote wapo kwenye mfungo, hawataki chaii.wamwisho (miezi 9),
Alikuwa au ana miezi?
rejea para ya 1
AsanteInategemea hilo kosa la abandon amelifanya mara ngapi, kama ni mara ya kwanza amsamehe, ampe chance ya wao kulea watoto pamoja.
Lakini asiache kupambana na kazi zake kulea watoto wake sababu once mtu akikuabandon pengine akafanya hivyo tena.
Kuna watu wana spirit ya mahangaiko na mizururo. Na anaweza kumsamehe huyo baba akabadilika wakalea watoto wao hadi mwisho wa maisha yao, its a game of chance and uncertainties.
🤝🤝Mkiambiwa muache kula sana vyakula vya wanga mnaona mnaonewa, sasa kitu kipo wazi kabisa huyo fedhuli aliondoka miaka mitano iliyopita akaacha watoto watano, wa mwisho akiwa ana miezi 9, wa pili kutoka mwisho alikua ana miaka mitatu na mwenye asthma(pumu) ugumu uko wapi hapo wa kuelewa,
Kurudi kwenye mada, huyo mama kama amekutuma umuombee ushauri basi bado anamtaka mumewe, kwa aliyofanyiwa wala hakua na sababu ya kuomba ushauri.