Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

Kama namuona mwanamke akimrudia mmewe, wala hatakumbuka mabaya...

Ni ngumu kushauri kwa watu waliopendana...
 
Halafu sijui kwanini wanaume wengi waliotelekeza familia zao huwa wanarudi wakifilisika tu, ila wengi wakifanikiwa hutaona wakirudi kuomba msamaha kusema naomba turudiane tulee watoto huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana, bila shaka huyo mwanaume karudi hapo kuzeeka tu baada ya kuona asije akaumwa uzeeni akakosa wa kumhudumia
 
Kiswahili kigumu sana. Anamaanisha mume aliondoka mke akiwa na mtoto wa miezi 9 huku mwingine miaka 3
wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3)

Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita,
We

Yan mtoto wa mwisho ana miezi tisa halafu baba wa huyo mtoto aliondoka miaka mitano iliyopita kwa hiyo hiyo mimba ilitumwa kwenye what's app?🤣
 
Mwanaume kaondoka miaka mitano iliyopita mtoto wa mwisho ana miezi.

Kwamba wakati anaondoka mtoto wa mwisho alikuwa na miezi mitano, ikimaanisha leo mtoto wa mwisho atakuwa na miaka mitano na miezi mitano...
 
Qumamamake huyo msenge ni wa kutia jela maisha
 
Mawazo yako yaheshimiwe. Ila kama sisi me tunavyosema kuwa ke akichit hatakiwi kusamehewa, nami nasema huyu msenge si wa kusamehe. Ni wa kupiga chini tu
 
Kwamba amerudi kuzeeka zake! 😂
 
Me ni mwanaume lkn sjafurahishwa na hiki kitendo.
Huyu mama kanieleza haya yote kama mwanae kabisa akihitaji Ushauri...

Nikamwomba niwashirikishe watu wengine walio na experiences maana me sijaoa. Ili tupate mawazo mengi na mazuri akakubali.
Hivyo, nikaamua kuwaletea ninyi wakuu nikijua tutafanikiwa kumsaidia huyu mama...

Ukweli kateseka sana kwa muda wote amejitunza: hajaingia barabaran kutafta wanaume kama wengine wanavofanya.

Kawatunza wanae wote, katika maadili mazuri, maendeleo yao shuleni ni mazuri mno.
Kiufupi ni mwanamke Shupavu.

Nawashukuruni sana wote kwa msaada wenu.
 
We

Yan mtoto wa mwisho ana miezi tisa halafu baba wa huyo mtoto aliondoka miaka mitano iliyopita kwa hiyo hiyo mimba ilitumwa kwenye what's app?🤣
Wakuu wa kazi muwe mnasoma na kuelewa.
 
Upo sahihi kwa kila ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…