Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

Nakwambia hiviii..huyo mwanamke atamsamehe jamaa na atarudiana nae. Sie wanawake akili zetu tunazijua wenyewe
Haina shida as long as huo muda wote wakati anahangaika peke yake na watoto watano na mumewe yupo na mwanamke mwengine Katavi hajajifunza kitu hayaa. She is a final decision maker ila namuona huruma sana
 
Kajitunza...wapi
..akutake nani unawatoto watano...mmoja mgonjwa...

Alafu umechakaaa kwa kazi ngumu ili kutunza watoto.
 
Amina, Amina kubwa! Japo watu kama sisi huwa tuko katika risk kubwa ya kutumika.
Ni kweli. Lkn Mungu ni mwema humpatia mtu kinachomfaa. Wakufanana nawew unaweza kumpata lkn inahitaji Critical examination na msaada wa Mungu-- ili uspate batili akakuumiza
 
Wakapime afya, wawekeane mikataba ya maonyo mbele ya koo zao na serkali kisha wasameheane waendelee walipoishia, bindamu hukosea binadamu hujifunza na binadamu hubadirika. Mama akaze moyo ndo dunia hii.
 
Angekuwa mwanamke ndo karudi...mgemshauri amsamehe,?
Kwa nature ya jamii tuliyonayo Mwanamke tunamwona kama mtoto kwa mume wake. Hivyo, anaadhibiwa kwa matakwa ya mwanaume. Kitu kibaya sana.
 
Sema kawahi sana kurudi angesubir Samia atoke madarakani vinginevyo atakimbia tena.
 
Wakapime afya, wawekeane mikataba ya maonyo mbele ya koo zao na serkali kisha wasameheane waendelee walipoishia, bindamu hukosea binadamu hujifunza na binadamu hubadirika. Mama akaze moyo ndo dunia hii
Nakubaliana nawewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…