Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Haitoshi labda siku Moja tu.Wewe kama mama wa familia, hebu naomba mchanganuo wa matumizi yako kwa siku yenye thamani ya 50k (kwa siku walau mbili)
Hii comment inaonesha namna gani ulivyo na imani ya dini.,, umezungumzia perspective katk uislam. Umeongea vizur hayo ndo mafundisho sahihi.Wengi katika watu tukipata huwa twawa wanafiki na kujifanya tumeyasahu misha ya watanzania waliyo wengi kwelikweli
Naam, kweli kwa usawa ya maisha ya sasa ni pesa chache sana, lakini ndio aliyokuwepo nayo mume, na mke apaswa atambue kipato cha mumewe
Sasa ukiitisha iko kikubwa ambacho mumeo hana, akaibe??
Mbaya ni mume kukaa nyumbani kunyoosha miguu asitoke kwenda kutafuta, au anaafuta ila anatumia kwa njia zisizofaa au analeta ubahiri, ila hii ya kupata kisichotoshea haifai kumfarikisha kwahiyo atoe wapi??? Kama huwezi achika kaolewe pahala zipo(kama ndio solution uionayo)
Mshahara wenyewe sijui profit kasema ni kipato cha laki tano pengine ukute nyumbani kwao yeye ndio basa aya wategemea nini hapo???
Labda kuwe na makandokando mengine ila kama sivyo huyo mke mwenyewe adabu hana hadi akuombea kifo duuh, kazi kwelikweli
Wana jf baadhi comments zao huwa utafikiri wao wana dunia yao nyingine kabisaa sio dunia hii ya Mimi na wewe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nilimaanisha huu mchanganuo wa 50k kwa siku, uutoe wa siku mbili.Haitoshi labda siku Moja tu.
Kila Moja nanusu ya nyama sh. 15,000tsh , nyanya=2000tsh ni kubwa nne, vitunguu=1000 viwili vikubwa , nyanya ya dukani =1000, Nazi =2,000 hoho mbili ni 2,000tsh ya siku, tangawizi na kitunguu saumu na maji, 3,000 hapo hadi na kachumbari.
MATUNDA
ndizi mbivu kichani =5,000 na tikiti 4,000 , maembe =5,000 na nasi kubwa ni 3,500 na machungwa ya 5,000
Total =52,000tsh hapo ukitaka kula vitu visivyoumiza tumboo
Hapo iwe nakila kitu ndani kama sivyoo ni laki Kwa siku
Duh Kuna kauli huwa zinauma sana na hutakaa uzisahau- Mimi niliwahi ambiwa nimechoka kubeba ndoo ya maji kuweka bafuni baada ya mfumo wa maji kuharibika , kuja kugundua dah!.................Habari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Hicho hicho kasoro mboga tu itachange na nauli kufuata kukuNilimaanisha huu mchanganuo wa 50k kwa siku, uutoe wa siku mbili.
Yani mchanganuo wa 50k kwa SikU ya kwanza, alaf utoe na mchanganuo wa 50k kwa siku inayofatia.
Nashkuru umenipa mchanganuo wa siku ya kwanza, nipe na wa siku ya pili then nitajibu comment zote kwa pamoja
Tayari unasaidiwa kaka yangu...pole sanaHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Laki kwa siku kwa mtanzania wa kawaida?Haitoshi labda siku Moja tu.
Kila Moja nanusu ya nyama sh. 15,000tsh , nyanya=2000tsh ni kubwa nne, vitunguu=1000 viwili vikubwa , nyanya ya dukani =1000, Nazi =2,000 hoho mbili ni 2,000tsh ya siku, tangawizi na kitunguu saumu na maji, 3,000 hapo hadi na kachumbari.
MATUNDA
ndizi mbivu kichani =5,000 na tikiti 4,000 , maembe =5,000 na nasi kubwa ni 3,500 na machungwa ya 5,000
Total =52,000tsh hapo ukitaka kula vitu visivyoumiza tumboo
Hapo iwe nakila kitu ndani kama sivyoo ni laki Kwa siku
Hii comment yako ingetosha na kuwa sababu tosha ya kuuliza swali hiliThinking out loud;
Nanunua karoti 1000, hoho 1000, vitunguu maji 1000, Swaumu 1000, tangawizi 500, dagaa 2000, nazi 2 3000, nyanya 3000, mboga 5500, kabichi 1000, nyama ¹/² 5000, bamia na nyanya chungu 2000, viazi ulaya 500, ndimu 500, nauli 2000..1000 iwe reserve na usali sana kisitokee chochote ili hela itoshe kwa wiki hiyo ya kwaresma majinuni...
Ratiba ya msosi utapanga mwenyewe ila kwa ushauri..unapika mboga ya mchana na jioni kwa mara moja, ili kusave vitu. Like maybe,
J3; mchana- Ugali ndondo (nazi unatumia nusu kipande) na harage hili ni robo kilo..na mboga ya majani fungu moja...
Jioni- wali na ndondo la mchana na mboga fungu moja.
J4; mch- ugali dagaa na mboga
Jioni- wali na mboga za mchana.
J5; mch- ugali bamia na nyanya chungu na mboga.
Jio- wali wa mseto wa harage (no nazi) na mboga ya mchana ya majani.
Alh; mch- ugali na mboga ya majani
Jio- wali wa nyanya na mboga ya majani.
Iju; mch- ugali dagaa na majani
Jio- chapati harage la nazi kipande
J1- mch- wali kabichi ya nyanya
Jion- ugali nyama na ile kabichi
J2- pilau la nyama na viazi la mchana na jioni. Na kabichi
J3- hapo baby anarudi kwaiyo ni ugali ndondo na mboga na jion wali ndondo na mboga ya majani nazi kipande.
Kuna nyakat katika maisha yetu hatuli ili tuenjoy sweetness...tunakula tuishi, tusife..kwaiyo itabidi tuvumilie tu hakuna namna. Kama una maharage ndan tayari una mboga.
Ukiyachemsha yakaiva vizuri kwa kulainika, ukakatia kitunguu kimoja vimafuta na chumvi utakula ugali au wali na utakunywa maji, utalala ukimshukuru Mungu. Kuna wanaotafuta na wanakosa hayo wewe unacho.
Kuna wengne watasema "ooh ananipa kidogo af anakula na malaya zake.." sawa ni kweli lakin what does not kill you makes you stronger. Inawezekana baba zetu waliachaga budget ndogo nyumbani wakaendaga kuhonga kwa wanawake wengine lakin leo nimekua hata kama niliteseka kipind hcho, leo nina uwezo wa kuishi kwa mtu yoyote na nikala kinachopikwa hata ni mlenda wa bamia peke yake..tena kwa furaha na amani.
Kwaiyo mwanamke mwenzangu usihisi kwamba mtoto wako anateseka, ama sijui notions gani..hapana. unapoona ivyo, mwanao anakuwa shaped kuja kuwa mwanamke strong ama mwanaume strong. Let them live through the hard times...tulikula na hatukufa.
Kama uliona mwanaume mbaya, ama malaya..usingekubali kuwa nae in the first place. Mpaka umekubali kuolewa na kuzaa nae watoto..ulikubali yote..kama ni lawama jitukane mwenyewe, lakin usimdhihaki mtoto wa mwanamke mwenzio..hata wewe unae mtoto utapenda kuja kuona anatukanwa na kudhalilishwa?? Tuwe makin sana na vinywa vyetu...ukiona hasira imekuzid nakupa technique...jaza maji mdomon afu funga mdomo..afu katafute kazi kuwa busy...unaweza ukatoa maneno saiv yakaishi miaka 10 baadae..huwaga hayafutiki haraka, mwe na hasira lakin msitende......
🤣🤣🤣🙌Watu mna maneno!Mpandishe Cheo
Awe mke mkubwa
Familia Ina watu watatu, Watu wazima wawili, na mtoto wa mwaa mmoja.Haitoshi labda siku Moja tu.
Kila Moja nanusu ya nyama sh. 15,000tsh , nyanya=2000tsh ni kubwa nne, vitunguu=1000 viwili vikubwa , nyanya ya dukani =1000, Nazi =2,000 hoho mbili ni 2,000tsh ya siku, tangawizi na kitunguu saumu na maji, 3,000 hapo hadi na kachumbari.
MATUNDA
ndizi mbivu kichani =5,000 na tikiti 4,000 , maembe =5,000 na nasi kubwa ni 3,500 na machungwa ya 5,000
Total =52,000tsh hapo ukitaka kula vitu visivyoumiza tumboo
Hapo iwe nakila kitu ndani kama sivyoo ni laki Kwa siku
Wanaobisha,au kusema 30k haitoshi, ni vile tu wameamua kusema hivyo, ila inawezekana sana. Mfano wako ni moja wapo ya michanganuoThinking out loud;
Nanunua karoti 1000, hoho 1000, vitunguu maji 1000, Swaumu 1000, tangawizi 500, dagaa 2000, nazi 2 3000, nyanya 3000, mboga 5500, kabichi 1000, nyama ¹/² 5000, bamia na nyanya chungu 2000, viazi ulaya 500, ndimu 500, nauli 2000..1000 iwe reserve na usali sana kisitokee chochote ili hela itoshe kwa wiki hiyo ya kwaresma majinuni...
Ratiba ya msosi utapanga mwenyewe ila kwa ushauri..unapika mboga ya mchana na jioni kwa mara moja, ili kusave vitu. Like maybe,
J3; mchana- Ugali ndondo (nazi unatumia nusu kipande) na harage hili ni robo kilo..na mboga ya majani fungu moja...
Jioni- wali na ndondo la mchana na mboga fungu moja.
J4; mch- ugali dagaa na mboga
Jioni- wali na mboga za mchana.
J5; mch- ugali bamia na nyanya chungu na mboga.
Jio- wali wa mseto wa harage (no nazi) na mboga ya mchana ya majani.
Alh; mch- ugali na mboga ya majani
Jio- wali wa nyanya na mboga ya majani.
Iju; mch- ugali dagaa na majani
Jio- chapati harage la nazi kipande
J1- mch- wali kabichi ya nyanya
Jion- ugali nyama na ile kabichi
J2- pilau la nyama na viazi la mchana na jioni. Na kabichi
J3- hapo baby anarudi kwaiyo ni ugali ndondo na mboga na jion wali ndondo na mboga ya majani nazi kipande.
Kuna nyakat katika maisha yetu hatuli ili tuenjoy sweetness...tunakula tuishi, tusife..kwaiyo itabidi tuvumilie tu hakuna namna. Kama una maharage ndan tayari una mboga.
Ukiyachemsha yakaiva vizuri kwa kulainika, ukakatia kitunguu kimoja vimafuta na chumvi utakula ugali au wali na utakunywa maji, utalala ukimshukuru Mungu. Kuna wanaotafuta na wanakosa hayo wewe unacho.
Kuna wengne watasema "ooh ananipa kidogo af anakula na malaya zake.." sawa ni kweli lakin what does not kill you makes you stronger. Inawezekana baba zetu waliachaga budget ndogo nyumbani wakaendaga kuhonga kwa wanawake wengine lakin leo nimekua hata kama niliteseka kipind hcho, leo nina uwezo wa kuishi kwa mtu yoyote na nikala kinachopikwa hata ni mlenda wa bamia peke yake..tena kwa furaha na amani.
Kwaiyo mwanamke mwenzangu usihisi kwamba mtoto wako anateseka, ama sijui notions gani..hapana. unapoona ivyo, mwanao anakuwa shaped kuja kuwa mwanamke strong ama mwanaume strong. Let them live through the hard times...tulikula na hatukufa.
Kama uliona mwanaume mbaya, ama malaya..usingekubali kuwa nae in the first place. Mpaka umekubali kuolewa na kuzaa nae watoto..ulikubali yote..kama ni lawama jitukane mwenyewe, lakin usimdhihaki mtoto wa mwanamke mwenzio..hata wewe unae mtoto utapenda kuja kuona anatukanwa na kudhalilishwa?? Tuwe makin sana na vinywa vyetu...ukiona hasira imekuzid nakupa technique...jaza maji mdomon afu funga mdomo..afu katafute kazi kuwa busy...unaweza ukatoa maneno saiv yakaishi miaka 10 baadae..huwaga hayafutiki haraka, mwe na hasira lakin msitende......
Watoto ndio wanakula mbaya sana hujui tu kila saa dada chungwa kata amuu hadi ijioni hamna yoteFamilia Ina watu watatu, Watu wazima wawili, na mtoto wa mwaa mmoja.
Kwa siku mbili, mnakula maembe ya elfu 10, Machungwa ya elf 10, nasi za elfu 7 na tikiti za elf 8.
Hizo hoho mbili zenye thamani ya 2000, ni supermarket au wapi?
Katika hii bajet yako, kitunguu maji umekipigia hesabu mara mbili, nitassume umejisahau, nitacount mara moja. Vitunguu saumu na tangawizi vyenye thamani ya 3000, ambavyo na kesho yake itahitajika kuvinunua tena, vinatumika kwenye Nini mpaka viishe kwa siku?
Bajet yako uliyoipiga, ni kujaribu kutimiza 50k, ila haipo realistic. Matunda ya 35k daily, kwa watu wazima wawili na katoto?
Umeandika vizuri sana shida wanawake huwa hawana elimu ya bajeti ndio maana wanakuwa na makasiriko sanaWengi katika watu tukipata huwa twawa wanafiki na kujifanya tumeyasahu misha ya watanzania waliyo wengi kwelikweli
Naam, kweli kwa usawa ya maisha ya sasa ni pesa chache sana, lakini ndio aliyokuwepo nayo mume, na mke apaswa atambue kipato cha mumewe
Sasa ukiitisha iko kikubwa ambacho mumeo hana, akaibe??
Mbaya ni mume kukaa nyumbani kunyoosha miguu asitoke kwenda kutafuta, au anaafuta ila anatumia kwa njia zisizofaa au analeta ubahiri, ila hii ya kupata kisichotoshea haifai kumfarikisha kwahiyo atoe wapi??? Kama huwezi achika kaolewe pahala zipo(kama ndio solution uionayo)
Mshahara wenyewe sijui profit kasema ni kipato cha laki tano pengine ukute nyumbani kwao yeye ndio basa aya wategemea nini hapo???
Labda kuwe na makandokando mengine ila kama sivyo huyo mke mwenyewe adabu hana hadi akuombea kifo duuh, kazi kwelikweli
Wana jf baadhi comments zao huwa utafikiri wao wana dunia yao nyingine kabisaa sio dunia hii ya Mimi na wewe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Watoto ndio wanakula mbaya sana hujui tu kila saa dada chungwa kata amuu hadi ijioni hamna yote
Katika thread yetu, anazungumziwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu. Bajet yako imelenga kutimiza 50k, ila sio uhalisia.Watoto ndio wanakula mbaya sana hujui tu kila saa dada chungwa kata amuu hadi ijioni hamna yote
Niache tu mie hapana unajua kujisema huu nikujishauaKatika thread yetu, anazungumziwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu. Bajet yako imelenga kutimiza 50k, ila sio uhalisia.
Labda tuachane na huu Uzi, wewe binafsi kwa siku unatumia shilling ngapi hapo nyumbani kula?